Bei ya vyakula vya mahoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri wa mabasi iangaliwe na mamlaka husika

Bei ya vyakula vya mahoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri wa mabasi iangaliwe na mamlaka husika

Logic yakuuza bei juu ni nini? Hapo ndio pamsingi.. Haiwezekani chakula chao kikawa bei Mara mbili Au tatu ukilinganisha na maeneo ya mijini.. Wanatumia advantage ya bus kusimama Hapo Tu wanajua huwezi pata chakula sehemu nyingine Yeyote lazima ule Hapo... Hii si Sawa. Serikali iingilie Kati hili suala kuweka hata bei elekezi ya vyakula njiani...
Wenye serikali nadhani ndio wamiliki wa hizo migahawa
 
Soko huria, serikali ikipanga bei za mazao tunailalamikia, wacha soko lipange bei, ni fursa pia kwa wanaotaka kuuza cha kula kwa bei ndogo wakafungue mahoteli ili ushindani uwe mkubwa.

Mwisho kabisa sio lazima kula njiani, nunua maji na korosho za kutosha utakula unapoenda kama una watoto mwambie mama yeyoo awapakilie vyakula.
Nikanunue korosho Mtwara nirudi Muleba nianze safari kwenda Lindi SI ndio!!??
 
Mimi babati peke yake ndipo hapajawahi kuniangusha, fresh foods at reasonable prices. Kuku wa kienyeji na samaki saaafi, ndizi mshare laini u chipsi kavu.
 
Back
Top Bottom