Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Wasukuma bhana[emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo ht maza alikua nayo..enzi tren halziengui...mnapikiwa maandazi na maji dumu lita 5!kituo Mwanzaaa...!khaaa hahahahaha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma bhana[emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo ht maza alikua nayo..enzi tren halziengui...mnapikiwa maandazi na maji dumu lita 5!kituo Mwanzaaa...!khaaa hahahahaha!
Wasukuma bhana[emoji16][emoji16][emoji16]
Ni kweli mkuu ni kama wako dunia yao wana serikali yao,kwani hiyo migahawa ina hadhi ya nyota ngapi hadi wauze hizo bei?Kuna ukweli hapa, wahusika watupie macho.
Lait ungejua unaongea na msukuma mwenzako hapa[emoji849]Ndo wameshikilia "nji" jinyongeee [emoji133][emoji133]
Lait ungejua unaongea na msukuma mwenzako hapa[emoji849]
Acha zako k twenzetu kwa majaliwa tukayajenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ww mbegu fupi unatokea kanda gan kwanza!_[emoji28]!
Sasa kwa kuwakomesha hao wadada na mwenye mgahawa ukisafiri chukua huo wali wako wa buku 2 tia kwenye hotipoti ukufika kwenye huo mgahawa utaweka poti lako juu ya meza na kujisevia mwenyeKiuhalisia sahani ya wali nyama ni 1500 - 2000 lakini kwenye hiyo migahawa wali nyama wanauza 5000 - 6000. Mbaya zaidi vile vidada vihudumu vinanyodo utafikiri vinahudumia hoteli ya nyota tano kumbe mgahawa wa barabarani tena kwa wasafiri (ref: nangurukuru). Ukiviambia dada ongeza kidogo basi ili nishibe kanakukata jicho utafirikiri umetoa mawe kumbe umetoa 6000.
hahahaha et nyama za walinzi washenzi hawa wauzajiBora unywe juice na eat somemore (biscuit).
Barabarani unaweza uziwa vibudu na nyama za walinzi (dog) bila kujua.
M mwezi wa kumi pale bahi dadeki wanauza et chai ya rangi kikombe buku kakombe kenyewe kadogo na kila kitafunwa buku na kupanda sikujua awali nilijikausha sikulipa kwa hasira
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi naenda zangu Arusha pale Bagamoyo kabla haujafika Wami gari likapaki tuchimbe dawa kwakua ni asubui kiherehere changu si nkasema ngoja ninunue chai na samusa 2 asee na vile nlikua na dogo eti vikombe viwili chai ya maziwa 4000 ikaenda samusa 4 napo elfu 4000 ikaenda ***** sitarudia tena kakikombe kadogo ivi elfu 2
View attachment 1296370