INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

Hiyo router Inatumia Mfumo Gani Kuunganisha Mawasiliano Na Simu,
Wifi au Internet au Inakuwaje Naomba Maelezo Boss
 
Hiyo router Inatumia Mfumo Gani Kuunganisha Mawasiliano Na Simu,
Wifi au Internet au Inakuwaje Naomba Maelezo Boss
Tuanzie hapa kwanza mkuu,swali lako linalenga kufahamu juu ya connection ya kupata access ya camera zako kupitia simu ama nimequote vibaya swali lako?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kama una karasha za dhahabu,migodi ya kokoto usisite kuwasiliana nasi kwa huduma bora ya cctv camera na alarm detection sensor

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20230526_152501_758.jpg
    79.7 KB · Views: 20
Habari za leo
Kuanzia tarehe 10 JUN 2023,RJ SECURITY SYSTEMS itaanza kutoa maelezo ya kina juu ya vifaa vyote vya ulinzi ikiwemo namna ya kuchagua bidhaa bora,kuielewa bidhaa kabla ya kuamua kununua au kufunga (installation) na matumizi ya bidhaa husika.
Mada zetu zitahusu nyanja zifuatazo
✓CCTV CAMERA
✓ELECTRICAL FENSE
✓BIOMETRIC ATTENDANCE & ACCESS CONTROL
✓ALL ALARM SECURITY SYSTEMS
✓NETWORK INSTALLATION
✓GATE MOTORS
✓PRIVATE BRANCH EXCHANGE (PBX)
✓NVR & DVR FIRMWARE VERSION UPGRADE

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuuliza CCTV camera HDD Ina uwezo wa kutunza taarfa Kwa Dak ,Mwezi au masaa mangapi?
Pili CCTV camera zinazima baada ya mda gani au kunawezatokea hitilafu zikajizima zenyewe?
Je umeme ukikatika zitaendelea kuchukua tukio?
Ni Kwa wakati gani zinazima au utawasha through out years???
 
HDD zinatofautiana kuendana na muhusika anahitaji atunze matukio yake kwa muda gani,mfano WIKI,MWEZI,MWAKA vyote vinawezekana.

Pili, CCTV camera zinafanya kazi 24hrs,kuzima kwake ni mpaka kuwe na shida ya umeme kwenye power supply inayopeleka moto kwenye camera.

Mwisho, umeme ukikata camera zitasimama kwa muda kusubiri urejee tena lakini mteja anatakiwa awe na option ya kufunga POWER BACKUP kwa ajili ya kumsaidia wakati umeme umekata anakuwa na uwezo wa kuzifanya camera zake zirekodi kama kawaida wakati ambapo anasubiri umeme urejee. Pia unaweza kufunga mfumo wa SOLAR kwa ajili ya kuoperate camera ili kuepusha kukosa matukio endapo umeme unakuwa hakuna.

Camera zinarekodi All days kutokea siku uliyofanya installation,hazina muda maalumu wa kurekodi labda tu itokee break down ya power na balloon video tampering.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Balbu zenye kamera inayokuwa pekee yake unauzaje ? Je mzigo kwasasa unao ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…