INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

Mwenyewe niliambiwa 75k hapa naambiwa 150k.
Yaaani nusu nzima imeongezeka
Hivi umeelewa maelezo niliyotoa hapo juu kuhusu hizo router au unakurupuka kujibu?

Nionyeshe sehemu niliyoandika router ya modem ni 150,000/= na iwe na frequency ya 4.6ghz

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Built-in microphone zinapatikana pia
IMG_20230520_140838_021.jpg

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
We bwana #spark sijui una tatizo gani,itabidi nikuachie huu uzi uendelee nao wewe. Maana unajibu na kusema unachojisikia bila kusoma nilichoandika. Built-in microphone nauza 38,000/=View attachment 2631601

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kwa kiwango iko sio mbaya sana,mimi napenda haki,kwann uwaumize watu wasio na hatia ilihali wataalamu tumor humu?
 
Kwa kiwango iko sio mbaya sana,mimi napenda haki,kwann uwaumize watu wasio na hatia ilihali wataalamu tumor humu?
Sijakuuliza chochote kuhusu utaalamu wako, but just do what you think it's right. Aliekupa elimu hii sidhani kama alikupa na elimu ya surveillance protocol cycology.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom