Bei za Mafuta zapanda kuanzia Septemba 1, 2021

View attachment Cap-Prices-for-Petroleum-Products-wef-01-Septemba-2021-Kiswahili.pdf
 
Hii ni Kikwete style kama hukuwepo kipindi cha Kikwete ndo utashangaa lakini kama ulikuwepo uwezi shangaa.
 
Nafikiria kuuza hiace yangu sasa
 
watanzania wapole sana wewe pandisha bei kila kitu wao wapo sawa tu . ila ukipandisha bei ya kiingilio ya uwanjani kuona mechi ndio utasikia kelele kila kona au azam na dstv wapandishe bando la kuona mechi watanzania hawalali watalalamika sana
 
Kavishwa na kituko. Tangu lini mswahili aliwahi kuwa serious?. J.Kikwi.

1 Nyerere maisha yalikuwa magumu mno
2 Mwinyi mzee wa rukhsa, alifungulia kila ki2
3 Mkapa alikuwa ana unafuu japo co saaaana
4 Kikwete maisha yalikuwa bora
5 Magu maisha yalikuwa magumu
6 Mama samia, anaelekeya 6 months, hopu ataweka mambo sawia. 2mpe muda.

Ukitazama hapo,,,namba 2 na 4 maisha yalikuwa the best haswaa.

So Uyu mama amekuta nchi ipo kwenyi wakAti mugumu,,,,ili aiweke saWa itachukua muda mzehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…