Bei za Mafuta zapanda kuanzia Septemba 1, 2021

Nchi imekabidhiwa kwa wahuni na “know-it-all” kama Madelu na haya ndio matokeo yake

Watu wapo busy wanachota na kukwapua pesa za maandalizi ya 2025
Huyu Mwigulu mtamtupia sana lawama ila mama yenu huyu mliemdemkia sana mwanzoni hamna kitu
 
Hilo lijinga unalolilenga ndio source of problem in tz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utapanic sana dogo!

Ndio maana mlishangilia kifo chake mkifikiri kufeli kwenu ni kwa sababu yake, sasa mambo yamefeli mara mbili zaidi na bado mnamtupia lawama marehemu.

Hata uchaguzi wa 2025 mtakuja kushindwa vibaya na mtamlaumu marehemu.
 
Mama mtu wa hovyohovyo,hajui lolote yupo kula na kulala tu
Na bado!
.
Vipi unaonaje anavyowakomesha mataga na sukuma gang huku akifuta legacy?

Anaupiga mwingi sana ukizingatia sasa mnapumua, mko huru, mmejazwa mahela mifukoni baada ya kuporwa na mwendazake
 
Wanakopeshwa pesa kwa ajiri ya kununua Chanjo huku maisha ya kila Mtanzania yakiwa duni. Serikali hii imepambana sana mpaka kupata vigezo vya kukopeshwa fedha kununua Chanjo, mara toa takwimu za maambukizi Nchi inakubali ili kupata dollar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…