Bei za Mafuta zapanda kuanzia Septemba 1, 2021

Hivi wachumi wa serikalini wanaelewa impact ya kupandisha bei mafuta kwnye uchumi?. Umeme shida, mafuta shida na Maji shida. Hii Nchi imewashinda wakubali, nilimchukiaga mzee Magu ila jamaa alikua hana huu ujinga.
Hahahahah nakusihi uendelee kumchukia tu sababu mama anaupiga mwingi sana! Mzee mlimtukana mpaka anapozikwa kuwa ni Mzoga 😅 ila sasahivi maisha ni mazuri mkiwa na mama
 
Anaupiga mwingi ee?

Hatimaye kilio chenu kimesikika, sasa mnakula mema ya nchi baada ya kunyanyaswa sana na mwenda zake
Mimi nawaonea tu huruma watanzania wenzangu wa kipato cha chini. Kwa upande wangu hata wapandishe kiasi gani, athari zake kwangu haziwezi kuwazidi wale wanyonge wa huyo Mwendazake.

Mimi ni Mtanzania wa kipato cha kati mkuu! Siyo Tajiri, lakini pia siyo maskini. Hivyo watu kama sisi huwa tunadunda tu kitaa! Maskini wakilia, sisi tunacheka tu! Matajiri nao wakiumizwa na Mtawala Dikteta, sisi tunashangaa tu.
 
Anaupiga mwingi ee?

Hatimaye kilio chenu kimesikika, sasa mnakula mema ya nchi baada ya kunyanyaswa sana na mwenda zake
Eti kipindi kile ukimsifia JPM wanakwambia we ni Sukuma gang hata sisi wa arusha tukaitwa Sukuma gang tena washamba wa mwanza huko,Mara eti tunalazimisha legacy.Tukajikalia zetu kimyaaa tuone huo mwingi unaopigwa TOKA ufipani mpaka lumumba in short sisi tulishaona mama Huyu ni milengo fulanj na aina fulanj ya viongozi wasio na vision Zaid ya mazoea tu
 
Hakuna nchi yenye viongozi Wabaya na wakatili km Tanzania.Aisee mnyonge wa Bongo atapumzika tu siku akifa.
 
Na bado!
.
Vipi unaonaje anavyowakomesha mataga na sukuma gang huku akifuta legacy?

Anaupiga mwingi sana ukizingatia sasa mnapumua, mko huru, mmejazwa mahela mifukoni baada ya kuporwa na mwendazake
Wenye njaa kali wako ccm mana nlizoea vya kunyonga,wakti wa msiba wa kwandikwa nliwakuta masumbwe wamepaki magari ya ccm wamejazana wanashambulia machungwa na miwa[emoji16][emoji16]huku wamevaa mashati yao ya kijani,vumbi mpka kwenye kope,ndio mtajua hamjui
 

Angalizo bei hizi si kwa wale wanaomiliki kadi za ccm
 
Peleka upuuzi na huyo mama yako
 
Kusema mama amekuta nchi katika hali ngumu ni uongo wa kupindukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…