Bei za vifurushi kupanda huku waziri mwenye dhamana akikenua meno kwa furaha ni matusi mazito kwa waTanzania

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk.

Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa huduma / bidhaa kukaa chini na kupanga bei kwa pamoja ya huduma /bidhaa husika, isipokuwa tu kwa maelekezo ya mamlaka husika ya usimamizi, (mfano EWURA anaweza akapanga bei kwa niaba ya wauza mafuta).

Wakati uvunjaji huu wa kanuni za FCC ukiendelea wazi wazi, mchana kweupe na waziri mwenye dhamana akikenua meno kama chizi kaona jalala jipya inatuvunja moyo wa Tz, tumepoteza moyo kabisa na tumaini halipo tena, inatufanya tuamini kwamba kuna mgao unatembea kama comission ya unyonyaji huu wa wazi wazi, haya ni matusi mazito kwa watu milioni 60, yaani hakuna hata tamko!!!??? Damn it!

42D7EC17-0298-4E78-97A8-28ECD6EA54AF.jpeg

==========================

Yule Waziri sioni kama anawasimamia Watanzania pamoja na hiyo TCRA wao wapo busy kukamata watu wasio waharifu huku waharifu wakiachwa wakituma meseji za kutapeli watu kila kukicha kama vile line zinatumika bila utambulisho wowote...nilishawahi weka bando mara nyingi naweka la mwezi baada ya siku mbili nikapata safari ile simu nikaizima nikaondoka narudi naiwasha napata ujumbe wa matumizi 75% nilikaka kama wiki mbili huko nikabaki kucheka tuu..sehemu ingine hawa wezi wanatupa taarifa kwa sekunde zilizobaki sio dk tunapigwa hapo balaa maana wanajua kujua sekunde 10,000 baadae akipewa taarifa zipo sekunde 500 ataona sawa tuu..na ishu ya expire kwa bidhaa ambayo haijatumika huu nao ni wizi fulani ambao serikali imebariki kwa watu wake..
 
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk.

Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa huduma / bidhaa kukaa chini na kupanga bei kwa pamoja ya huduma /bidhaa husika, isipokuwa tu kwa maelekezo ya mamlaka husika ya usimamizi, (mfano EWURA anaweza akapanga bei kwa niaba ya wauza mafuta).

Wakati uvunjaji huu wa kanuni za FCC ukiendelea wazi wazi, mchana kweupe na waziri mwenye dhamana akikenua meno kama chizi kaona jalala jipya inatuvunja moyo wa Tz, tumepoteza moyo kabisa na tumaini halipo tena, inatufanya tuamini kwamba kuna mgao unatembea kama comission ya unyonyaji huu wa wazi wazi, haya ni matusi mazito kwa watu milioni 60, yaani hakuna hata tamko!!!??? Damn it!

View attachment 2400976
Alishapigwa chini mrembuaji akamrudisha kwake unategemea nini??
 
Burundi hununua Data Tanzania kupitia Mkongo wa Taifa, ila mshangao wao bei ni ndogo kuliko sisi tunaowauzia
Hiyo aina tofauti na ishu ya Mafuta yanapita bara bara zetu harafu huko Malawi na Zambia bei hazijatofautiana na Tanzania na muda mwingine huko bei inakua chini zaidi nilipokuja kufanya tafiti ndogo nikagundua mafuta yana mzigo wa Kodi kama kwenye magari tuu...
 
Kiongozi hana akili ya kuwaza nje ya vitu obvious.
 
Inawezekana isiwe kwenye kizazi chetu hiki kilichojaa unafiki na uoga lakini naamini ipo siku watanzania wataamka na hawa mbwa waliojimilikisha hii nchi kama mali yao binafsi watatafuta pa kujifichia wasipapate.

Hii nchi inaendeshwa kimazoea mno. Wanajua tutalalamika mitandaoni tu, Diamond atatumwa amtie kidole Zuchu hadharani na kama mbwa koko mijitu mizima itakaa mtandaoni kujadili dole la Diamond kusahau mambo yenye tija. Watanzania tunaendekeza udaku kuliko mambo ya msingi.
 
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk.

Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa huduma / bidhaa kukaa chini na kupanga bei kwa pamoja ya huduma /bidhaa husika, isipokuwa tu kwa maelekezo ya mamlaka husika ya usimamizi, (mfano EWURA anaweza akapanga bei kwa niaba ya wauza mafuta).

Wakati uvunjaji huu wa kanuni za FCC ukiendelea wazi wazi, mchana kweupe na waziri mwenye dhamana akikenua meno kama chizi kaona jalala jipya inatuvunja moyo wa Tz, tumepoteza moyo kabisa na tumaini halipo tena, inatufanya tuamini kwamba kuna mgao unatembea kama comission ya unyonyaji huu wa wazi wazi, haya ni matusi mazito kwa watu milioni 60, yaani hakuna hata tamko!!!??? Damn it!

View attachment 2400976
Waziri anakenua sababu Vocha anawekewa ma serikali kiasi chochote anachotaka. Hawana kabisa uchungu na upandaji wa gharama za maisha.
 
Back
Top Bottom