FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk.
Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa huduma / bidhaa kukaa chini na kupanga bei kwa pamoja ya huduma /bidhaa husika, isipokuwa tu kwa maelekezo ya mamlaka husika ya usimamizi, (mfano EWURA anaweza akapanga bei kwa niaba ya wauza mafuta).
Wakati uvunjaji huu wa kanuni za FCC ukiendelea wazi wazi, mchana kweupe na waziri mwenye dhamana akikenua meno kama chizi kaona jalala jipya inatuvunja moyo wa Tz, tumepoteza moyo kabisa na tumaini halipo tena, inatufanya tuamini kwamba kuna mgao unatembea kama comission ya unyonyaji huu wa wazi wazi, haya ni matusi mazito kwa watu milioni 60, yaani hakuna hata tamko!!!??? Damn it!
==========================