FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #41
Tunachofanyiwa WaTz ni uhuni usioweza kuvumilika wala kuhimilikaNaye kaanza kunyoa kipara ngoto!
Basi tumekwishaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunachofanyiwa WaTz ni uhuni usioweza kuvumilika wala kuhimilikaNaye kaanza kunyoa kipara ngoto!
Basi tumekwishaa!
Nimekuelewa mkuuMkuu tusiongee mengi.
Sababu ulizoongea ndiyo zilitosha kuchafukwa pasikalike, sababu nchi hii si koloni ama watemi ambao viongozi wanapatikana kwa kurithi, ni ya kidemokrasia.
Serikali kama inaongoza hovyo kwa kukiuka ilani zake na katiba, hata kama ilichaguliwa kihalali, iondolewe tu, haina manufaa kwa watu.
Ukimya wa viongozi(Ccm na upinzani) tayari mie nimewaweka fungu moja.
Hata wewe unayewavumilia ipo siku utawachoka tu, labda wabadilike pakubwa na wajitambue na watambue tunachokitaka wananchi!
Embu kaa utulie uwapime bila mahaba kuanzia ccm na viongozi wa upinzani, kuna yeyote anayekemea uozo tunaofanyiwa raia kwa sasa?
Utetezi kwa viongozi wa upinzani kupigwa tanchi hauna uzito kwa sababu si mikutano pekee ama uwakilishi Bungeni tu, kuna njia nyingi za kuzungumza na umma na kiongozi akaeleweka anakusudia nini na raia tukamsapoti, hasa kwa dunia hii ya kidigital.
Ila hizi kelele haziwezi kuwa za bure, itafika a pointNimekuelewa mkuu
Amesema hanunuliwi na serikaliView attachment 2401011
Mkuu akili kubwa, tatizo ndiyo hilo na ndiyo mtaji wao ku divide na ku rule!Sie wenyewe wananchi kwanza tumegawanyika haya masuala ya sijui upinzani na ccm ni ujinga mtupu ndio hutufanya kukosa nguvu kwa kushindwa kuwa pamoja.
Labda tuseme hivyo jinsi allowance za mawasiliano zinavyotumika, kuweza kununua wenyewe ama kughairi na fedha hizo kuzifanyia matumizi mengine.Ananunua mwenyewe kwa fedha anazopewa na Serikali.
Na alionyesha nia yake ovu kwa nchi pale alipopigia debe mradi wa bwawa la kufua umeme Rufiji usitishwe ati kupisha uchunguzi wa mazingiraHuyo Waziri ni mnafki sana Jiwe alimshtukia akamtosa sijui Sa100 ametokana naye wapi!
Watz smart wapo kibao kumsadia Mama namshangaa anambeba huyu mwenye akili ya kawaida tuu!.
Hewa ingine ni Jenistaa Mhaagama eti naye waziri!.
Mfumo wetu wa kupata viongozi makini ni mbovu mnoo, watu wengi hupewa nafasi ki zembe kabisa.Na alionyesha nia yake ovu kwa nchi pale alipopigia debe mradi wa bwawa la kufua umeme Rufiji usitishwe ati kupisha uchunguzi wa mazingira
DuuuhBurundi hununua Data Tanzania kupitia Mkongo wa Taifa, ila mshangao wao bei ni ndogo kuliko sisi tunaowauzia
Tutamkumbuka sana mwamba kiukweli.Ujue mkuu hili tatizo nimegundua ni la kijamii.
Namaanisha waTz wote kwa ujumla wetu tunakubaliana na kuridhika na huu upumbafu, vjnginevyo isingewezekana.
"The late" hao aliwafukuza kama mbwa kwa kuona mapungufu yao kuwa hawafai hata kwa kulumangila, lakini twashangaa Serikali hiyo hiyo kulamba matapishi yake kwa kasi ya upepo baada ya mwamba kudanja, ni nini kilikuwepo mbele ya pazia!
Hapa nadhani wa kulaumiwa si Nape peke yake, ni cyndcate nzima ya Serikali iliyopo madarakani.
Angalia mgao wa umeme na maji unavyotukaanga!
Bidhaa madukani kupanda kila siku bila ya tamko la Waziri husika ama Rais kukemea!
Maana yake ni kwamba haya yote yanayofanyika sasa hivi kudhalilisha watu kwa kupandisha bei za bidhaa za vitu na mgao wa maji na umeme ni baraka za Serikali iliyopo madarakani.
Kwa yanayoendelea nchini ilitosha kwa waTz kwa ujumla wetu kusema "hapana" kwa serikali iliyopo madarakani, "hapana" kwa Chama tawala na "hapana" kwa vyama vya upinzani, maana navyo kama sauti yetu vimelambishwa asali na kunyamazishwa, sasa ni vya nini na vina msaada gani kwetu?
Navyodhani, tuendelee kukandamizwa sana zaidi ya hapa ili uovu zaidi uliojificha katika nafsi za viongozi hawa mumiani uudhi zaidi na kukera mioyo ya wajinga wenye mahaba niue kwa serikali iliyopo madarakani ili mwisho wa siku wajitambue tuweze kuongea lugha moja na kauli moja kudadadeki.
Halotel dk zilikuwa 280 kwa 1000 now dk 150 kwa 1000Airtel wamepunguza tena bundle la internet la 2000 toka Mb 985 hadi Mb 970, shit!
Offer au isiwe offer, ni kwamba unalipa pesa na unapata huduma, gharama ya huduma imepanda.., na inapandishwa kila siku wakati bei ya mafuta imeshuka, na wanapandisha kwa kuambizana kitendo ambacho ni kinyume na kanuni za FCCNyie watanzania ni mambumbumbu sana hivi mnajua bundles ni ofa,wao wanatakiwa wakuuzie we we vocha tu uweke utumie kama mwanzo mitandao ilivyoanza, sasa unajua maana ya ofa, ofa kupata au kunyimwa huna uhalali wa kudai.