Bei za vitu kushuka Kenya, sisi tunakwama wapi?

Umeielewa mada lakini jombi? Hoja hapa ni kuwa hatimaye Ruto, Gachagua na genge lao wamesalimu amri. Kushughulikia hoja ya ugumu wa maisha bei ya vyakula inashuka.

Kwani wewe unaandika kwa mada ipi jombi?
Anayo HOJA,

Ukisema itashuka chini ya 2000 ya Tz, ulipasa kueleza ilipanda Kwa kiasi Gani Hadi ije ishuke.

Ongeza minofu kama hutojali.
 
Kitakachoshusha bei sio maneno ya Wanasiasa Bali uzalishaji kuongezeka..

Kumbuka hawakupandisha wao Bali forces za supply vs demand

Usipojua umuhimu wa utawala bora unapata wapi uhalali wa jambo lolote?

Anayo HOJA,

Ukisema itashuka chini ya 2000 ya Tz, ulipasa kueleza ilipanda Kwa kiasi Gani Hadi ije ishuke.

Ongeza minofu kama hutojali.

Ndiyo maana kuna rejea mbili kwenye mada.

Hukuziona rejea (references) zile mle? Hizo zina nyama, minofu, mafuta, kisusio pamoja na mifupa.

Hiyo si ndiyo kazi ya references au wewe ulidhani hizo huwa ni za nini ndugu?
 
Inafika huku?

View attachment 2588571

Acha kujidhalilisha ndugu.

Kwamba hujishangai, wewe ni wa kuhurumia.
Tatizo hauelewi concept nzima ya ukaguzi wa hesabu na hapo huyo kipanya ndiyo thinking tank yako au role model wako, bado tuna safari ndefu sana. Educate yourself kwenye some of these aspects before coming out stupid publicly
 
Siongelei ukaguzi. Naongelea wizi. Wizi kama haudhibitiwi uzalishaji upi usaidie nini?

Watu wanakula kama nzige.

Kwamba waingie nzige kwenye shamba lako uamue uwaache wale wakishiba wataondoka?

"Watashiba vipi nzige ndugu kama wanakula huku wakijisaidia (wakati huo huo)?"
 
Hizo zote ni allegations, mwizi anathibitishwa na mahakama, up your game brother
 
Tatizo hauelewi concept nzima ya ukaguzi wa hesabu na hapo huyo kipanya ndiyo thinking tank yako au role model wako, bado tuna safari ndefu sana. Educate yourself kwenye some of these aspects before coming out stupid publicly
Pesa za compaign za uchaguzi Unadhani Huwa zinatoka wapi?

Mkapa ktk kitabu chake amekiri kuiba billions Kwa ajili ya kufinance uchaguzi CCM na zilionekana ktk Ripoti za CAG kama mapungufu hayo hayo unayoita concepts za ukaguzi wa hesabu.

Na kama unaamini Si wizi, kwann chama Cha mambuzi hakikubali kupokezana na upinzani madaraka Ili wananchi wawapime CAPACITY Yao kiutendaji ktk kusimamia raslimali na pesa za Umma?
 
Hizi ni speculations and assumptions
 
Sasa serikali ipo kwa manufaa gani kiongozi?

Kwa kukusaidia tu government policies sa zingine ndio zinazoamua nguvu ya soko iweje. Hiyo ni commerce form two
It is a theory km huna Mfano wa sera iliyotufikisha hapa
 
Hizo zote ni allegations, mwizi anathibitishwa na mahakama, up your game brother

Kwamba hizi ni allegations:

Kwani wale stupid wanasingiziwa? Au Unadhani Mh. Rais amepotoka?

Au wewe ni mdau kwenye wizi wa kufuru huu?
 
Hizi ni speculations and assumptions
Mkapa aliandika kitabu Kwa assumptions?

Kwenda shule ni jambo moja, KUELIMIKA ni jambo jingine.

Maskini anapelekwa shule na Kijiji Ili akielimika arudi kuisaidia JAMII yake kutatua matatizo, matokeo yake anarudi na kiingereza kingi na dharau Kwa walomtuma KAZI na matokeo chanya yasionekane.

Mwizi atabaki kuwa Mwizi tu hata kama anaendeshwa ndani ya V8!!
 
Wanapoteza hela nyingi kwa watu kufunga biashara kupisha maandamano,,watalii wana acha kutembelea nchi yao, badala ya kwenda kulima, nguvu kazi iko barabarani inapambana na polisi. Yule mzee ni li jinga sana

Hoja yako dhaifu sana. Kwenye kupigania haki, biashara kitu gani kama watu wako tayari kupoteza maisha ndugu?
 
wameanza kuvuna. hao wapinzani wapuuzi tu hawana ajenda wala hoja ya maana
 
wameanza kuvuna. hao wapinzani wapuuzi tu hawana ajenda wala hoja ya maana
Ila mwenye hoja maana mtanzania wewe ukiwa hapo Nanjilinji na bado hujishangai.

"Maana kamili ya kuwa mtanzania ni mjuaji mno!"

Kama wewe kwenye mada, wazi wazi mliangaziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…