baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kwanza jifundisheni kusoma hoja, na kutotoka nje ya hoja, mleta mada ameleta hoja kwamba Kenya wapo vizuri wameshusha bei ya Unga akilinganisha na Tanzania, ila ukiangalia kwa jicho la upana zaidi kenya vitu ni Ghali kuliko kwetu na hata hio bei wanayoitaka ni sawa na kwetu ama ni ghali bado ukilinganisha na kwetu.Naomba nikuulize swali moja tu, huiamini nguvu ya umma kwenye kuleta mabadiliko?
Nguvu ya uma inaweza leta mabadiliko, kujibu swali lako
Ufahamu kwanza huu mfumuko ni External factors kupanda kwa bei ya Mafuta na sababu nyengine zifananiazoUnaweza pia kunionesha uhusiano uliopo, kati ya kuwa na pesa ya kulipa mishahara na serikali kupunguza bei ya vyakula?
1. Serikali ilitoa ruzuku, hii ruzuku ilitoka kwenye mapato ya ndani, walikuwa na uwezo wa kutoa ruzuku zaidi hata 500 kwa kila lita ila kutokana na umasikini wa Nchi yetu na sisi pia tusingeweza kulipa Mishahara.
2. Unapolipa mishahara pia unapunguza Ukali wa maisha, vaa viatu vya Mkenya hajalipwa mshahara na vitu vimepanda bei.