Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

TPP

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
650
Reaction score
783
_129799046_7d6d1dd4f75544f992695a65f58a82e4d8ddb6a5.jpg

The Chinese government has told operators of important infrastructure in the country to stop buying products from the US chipmaker Micron Technology.

Its products carry “serious network security risks” that pose hazards to China’s information infrastructure and affect national security, the Cyberspace Administration of China said in a statement on its website.

The move is the latest example of tensions between the US and China over technology, after a US ban on using the social video app TikTok on government phones and restrictions imposed by Washington on the export of some sophisticated computer chips to China.

“Operators of critical information infrastructure in China should stop purchasing products from Micron,” the Chinese agency said on Sunday. A US Department of Commerce spokesperson said the move had “no basis in fact”. The China and Hong Kong market accounts for about 15% of revenues at Micron, and the company’s shares dropped 3.7% in early trading in New York.

It generated $5.2bn (£4.2bn) of revenue from China, including $1.7bn from Hong Kong last year, about 16% of its total revenue, according to Jefferies.

Last year the U.S. government banned the export of cutting-edge chips, including artificial intelligence chips and specific GPUs from companies like AMD and Nvidia, to China also U.S blacklisted top Chinese memory chip maker YTMC.
 
Kuweka vikwazo kwa chips za Marekani is good for nothing sana sana watakaoumia ni wao wenyenyew china kukosa huduma kwa watu wao tokea vile wao wanashindwa kuzalisha, Taiwan ndo washakukoroga kwisha habari yao wataendelea kutengeneza baiskeli na vyerahani vya kushonea nguo
 
Kuhusu malalamiko ya viongozi wa kampuni ya Micron ?

Kushuka kwa mapato kwa mwaka ambayo kampuni itapata kutoka China hiyo pia ni hasara kubwa.
 
Kuweka vikwazo kwa chips za Marekani is good for nothing sana sana watakaoumia ni wao wenyenyew china kukosa huduma kwa watu wao tokea vile wao wanashindwa kuzalisha, Taiwan ndo washakukoroga kwisha habari yao wataendelea kutengeneza baiskeli na vyerahani vya kushonea nguo
Ila China akitaka apige hatua apige sanction maana alipofikia inabidi awape morali wataalamu wake waingie chimbo
 
Mkutano wa G7 uliweka bayana agenda ya kupunguza kuitegemea China kiuchumi haswa kwenye upande wa uwekezaji wa viwandani hii inatokana na China kuzidi kuwa mkorofi kwakuwa anaona uchumi wake unakuwa zaidi.

Haya ndio majibu ya Beijin baada ya ule mkutano wa G7, matokeo ya ule mkutano yataleta maumivu makubwa sana China.

Nchi zote zilizoshiriki ule mkutano pamoja na washirika wengine watapunguza kama sio kuondoa uwekezaji wao China.

Xi anazidi kuwaponza wachina, mvutano wa kichumi mikwaruzano na mataifa jirani, sera mbaya za mambo ya nje zitawaumiza sana wachina wengi.
 
Kuweka vikwazo kwa chips za Marekani is good for nothing sana sana watakaoumia ni wao wenyenyew china kukosa huduma kwa watu wao tokea vile wao wanashindwa kuzalisha, Taiwan ndo washakukoroga kwisha habari yao wataendelea kutengeneza baiskeli na vyerahani vya kushonea nguo
Shida mteja wao mkubwa ni nani
 
China na Hong Kong inachangia 16% ya mauzo kwa mujibu wa data zao za mwaka jana.

But decoupling itarudisha Mauzo kwenye chati maana makampuni mengi ya electronics manufacturing yanahama main land china,
Mambo kwa ground yapo tofaut mkuu supply chain ya rare earth element iko mikonon kwa china hizo ni politics za juu tu ila kuondoa manufacturing kutoka china ni swala la miongo zaid ya miwili na ni gharama kubwa mnoooo.
 
Mkuu fatilia vizuri, decoupling haijaanza jana wala leo since 2015 makampuni yamekuwa yakiondoka China, ila kwa sasa ndo inazidi kadri mdororo na mikwaruzano inavyozidi ndivyo kampuni zinavyozidi kuwa na wasiwasi.

Hakuna kampuni inapenda hasara, itakayokubali kuwekeza China wakati inaonekana mda wowote vita italipuka, mda wowote resictriction zitatangazwa.

Decoupling huwa haifanyiki ghafla huwa inaanza kwa kupunguza production kidogokidogo huku ikianzishwa investment sehemu nyingine mwisho wa siku wakijiridhisha ndipo wanafunga moja kwa moja production nzima

Foxconn major iPhone manufacturer kampuni ya Taiwan , Samsung, zimeshafunga virago kwa asilimia kubwa na kuamia korea, Vietnam na india.

Ukitaka kuona jinsi Xi na China wanavyohofia decoupling angalia na fatilia majibu yao pale ambapo kila kikao au mazungumzo ya decoupling yanapofanyika, huwa wanafume kwa hasira na wanasisitizaga Sanaa nchi zisijiondoe, fatilia majibu ya China after kikao cha G7!

Unajua kwann China mpaka Leo anang'ang'ania UN imtambue kama developing country status na sio developed country ni kwasababu ya favour za import na export anazozipata, akiondolewa kwenye hii status atapata tabu sana kwa maana favor zote za import and export zitaondolewa na hapa ndipo hali ya business kwa China itakuwa ngumu
 
Kuweka vikwazo kwa chips za Marekani is good for nothing sana sana watakaoumia ni wao wenyenyew china kukosa huduma kwa watu wao tokea vile wao wanashindwa kuzalisha, Taiwan ndo washakukoroga kwisha habari yao wataendelea kutengeneza baiskeli na vyerahani vya kushonea nguo
Sio ajabu wewe ni mama wa watoto wawili kabisa
 
Kuweka vikwazo kwa chips za Marekani is good for nothing sana sana watakaoumia ni wao wenyenyew china kukosa huduma kwa watu wao tokea vile wao wanashindwa kuzalisha, Taiwan ndo washakukoroga kwisha habari yao wataendelea kutengeneza baiskeli na vyerahani vya kushonea nguo
Hatar Sana yani wewe uwe na akili kuliko Rais wa china na jopo lake la upelelezi !! Hivi unazan wamekurupuka au unazan china sawa na nchi yako?
 
China na Hong Kong inachangia 16% ya mauzo kwa mujibu wa data zao za mwaka jana.

But decoupling itarudisha Mauzo kwenye chati maana makampuni mengi ya electronics manufacturing yanahama main land china,
Mchina ameshampita mjapan kwenye export ya magari na tunapoelekea kwenye magari ya umeme hizo electronics zitakua za muhimu sana, china sio kwamba hawezi kutengeneza hizo chips ila hawezi kutengeneza hizi za teknolojia latest, vifaa vingi hasa magari hayahitaji chips ambazo ni latest na bado jamaa ana share kubwa ya rare earth metals ambazo zina umuhimu mkubwa kwenye vifaa vya electronics,,, jamaa watazunguka ila baadae watarudi tu kwa mchina na 16% kwa mauzo ya nchi moja ni mnofu mkubwa huo kwa makampuni
 
Waseme kitawapa shida na wawekezaji wakimbie........ Huawei katoa simu haina 5g ila kaanza kumtoa kijasho iphone mwenye 5g
Makampuni mengi ya electronics yanayomilikwia na wachina wenyewe na mataifa mengine saivi yanahamia mexico, India na Vietnam

Mizozo na vita vya kiuchumia havina faida kwa China hata kidogo, Hasara ni kubwa mno. Soko Kubwa la China lipo Europe na USA ambako anazidi kupavuruga kila siku kwa sera mbovu na kuvunja international laws.

Kwasasahivi migogoro ya kubana pesa za watu benki, watu kukatwa pensheni zao, unemployment China ni mingi na inazidi kukuwa siku baada ya siku. Migomo na reaction za watu zipo ila ni za chinichini

Decoupling ikichanganya utaona migomo na maandamano itakavyoshamiri. Taifa lenye watu zaidi ya Bilion 1 halafu kuwe na changamoto tu za ajira mkuu sio jambo dogo.
 
Back
Top Bottom