Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Mkuu fatilia vizuri, decoupling haijaanza jana wala leo since 2015 makampuni yamekuwa yakiondoka China, ila kwa sasa ndo inazidi kadri mdororo na mikwaruzano inavyozidi ndivyo kampuni zinavyozidi kuwa na wasiwasi.
Hakuna kampuni inapenda hasara, itakayokubali kuwekeza China wakati inaonekana mda wowote vita italipuka, mda wowote resictriction zitatangazwa.
Decoupling huwa haifanyiki ghafla huwa inaanza kwa kupunguza production kidogokidogo huku ikianzishwa investment sehemu nyingine mwisho wa siku wakijiridhisha ndipo wanafunga moja kwa moja production nzima
Foxconn major iPhone manufacturer kampuni ya Taiwan , Samsung, zimeshafunga virago kwa asilimia kubwa na kuamia korea, Vietnam na india.
Ukitaka kuona jinsi Xi na China wanavyohofia decoupling angalia na fatilia majibu yao pale ambapo kila kikao au mazungumzo ya decoupling yanapofanyika, huwa wanafume kwa hasira na wanasisitizaga Sanaa nchi zisijiondoe, fatilia majibu ya China after kikao cha G7!
Unajua kwann China mpaka Leo anang'ang'ania UN imtambue kama developing country status na sio developed country ni kwasababu ya favour za import na export anazozipata, akiondolewa kwenye hii status atapata tabu sana kwa maana favor zote za import and export zitaondolewa na hapa ndipo hali ya business kwa China itakuwa ngumu
Wewe unaandika upumbavu gani? Unajua kampuni zilizochina zinamake profit kias gani? Unafikiri anayeumia ni China au west??. Nasubir apple watoke China afu tuone kama iphone zitazagaa bongo. Apple wenyewe wanakwambia wamepiga faida kutoka China unafikir easy sana.
China na Russia production cost ziko low sana ndomana unaona makampuni yao yanakimbilia huko. Wameshindwa Russia wataweza China??
Marekani anawaingiza chaka wenzie, yeye mwenyewe anataka kuapproval Debt ceiling hali ni mbaya huko, dollar ishakua shida kila kona.