Jamii forum imekuwa na wajinga wengi sana saivi china ana misuli mikubwa sana hakuna nchi ambayo iko tayri kujitenga na china narudia tena hakuna nchi yoyote kwa mwelekeo wa kiuchumi wa saivi ulivyoo na kama watataka kufanya ivyo itachukua si chini ya miaka 10 mbeleni, kama Russia tu inflation imekuwa ivi basi jua china itakuwa mara 10 yake kwenye nchi zao na chumi nyingi zitaanguka, china si tu ana export bidhaa zake ila ana import rawmaterial kote duniani ana import bidhaa nyingi za kilimo kutoka nchi zote za ulaya pamoja na marekani kwa ujumla ndyo nchi yenye soko la uwakika kwa bidhaa ghali za ulaya na marekani kumtingisha uyu ni kutingisha chumi zao wao wenyewe wakitoka apo kwenye kikao cha G7 mmoja mmoja anarudi mwenyewe kuongea na raisi wa china usiisi wanafanya ivyo kwa baati mbaya ila wanajua vile uchumi wa china ni muhimu kwao.
China si yule wa miaka ya 90 saivi ana nguvu ambazo c za kawaida wengi mnaongelea kuusu viwanda vingi vya ulaya na marekani kuwa china kwamba wakivitoa uchumi wa china utaangamia nawashaurini nendeni mkasome zaidi kuusu china alafu ndyo mje na kauli iyoo apa tena nchi za ulaya na marekani wakitaka makampuni yao yafilisike wayatoe china na ilo halitawezekana kwa sasa kwa sababu kuuu mbili 1. Utajiri wa china kwa sasa,kumbuka ni mkopeshaji mkubwa duniani kwaiyo anaweza kufanya yale anayofanya nchi nyingi za ulaya, uwezo wake wa kuanzisha kampuni inayotoa bidhaa kama zako na bora kuliko zako na bei ikawa chini kuliko yako moja kwa moja anakutoa sokoni bila kupenda 2. Amewekeza sana kwenye elimu na ujuzi unaoendana na soko linavyoitaji kwa sasa, CEO wa apple na aa TESLA walisema china inakuoffa watu wa aina zote kwa ujuzi uutakao