Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

Umesahau Kuna India, Japan, Vietnam n.k

Decoupling ni decoupling tu for the benefit of security interests. Hauwezi ukasema eti kwakuwa China wanazalisha products nyingi zaidi basi soko lataendelea kuwa stable.

Stability ya soko inategemeana pia na political atmosphere iliyopo, kama upepo wa kisiasa ni mchafu hakuna mtu atanunua bidhaa zako hata kama utengeneze tonnes na matonnes

Soko kubwa la China lipò USA na Europe, usitegemee kumuona mtu yyte wa ulaya akanunua bidhaa za China ikiwa kama China ataendelea na policy zake za kuinyanyasa Taiwan.

Policies za west is all about humanity, kujali utu kwanza kabla ya vitu.
True Kuna watu wanadhani china ikiwa super power basi ndio itakuwa poa. Nataka nikwambie hakuna Taifa duniani linasheria mbaya kuhusu wanadam kama China. Taifa linalo kula kitu sitaki kiamini watu hawali... Taifa linavuna viungo vya watu sitaki kuamini Kuna utu na ubinadam. China inaongoza kwa kwa kunyonga na mbaya kuliko yote hawana dini inayoitwa Ukristo au uwisilam. Nimeshanga sana Iran kusema wao ndio wapatanishi while waislam wanajuwa Habari ya china.
 
True Kuna watu wanadhani china ikiwa super power basi ndio itakuwa poa. Nataka nikwambie hakuna Taifa duniani linasheria mbaya kuhusu wanadam kama China. Taifa linalo kula kitu sitaki kiamini watu hawali... Taifa linavuna viungo vya watu sitaki kuamini Kuna utu na ubinadam. China inaongoza kwa kwa kunyonga na mbaya kuliko yote hawana dini inayoitwa Ukristo au uwisilam. Nimeshanga sana Iran kusema wao ndio wapatanishi while waislam wanajuwa Habari ya china.
Sera na sheria za kulinda na kuheshimu haki za binadamu ni Bora na zinafaa zilindwe popote pale Duniani.
 
China ikipoteza soko la bidhaa la Marekani na Ulaya itakufa njaa. Hakuna nchi nyingine duniani zenye uwezo wa kuipa hizo pesa wanazopata huko. Mauzo ya China Marekani/ulaya/G7 ni zaidi ya theluthi na huko wanauza zile bidhaa za daraja la kwanza.
Jamii forum imekuwa na wajinga wengi sana saivi china ana misuli mikubwa sana hakuna nchi ambayo iko tayri kujitenga na china narudia tena hakuna nchi yoyote kwa mwelekeo wa kiuchumi wa saivi ulivyoo na kama watataka kufanya ivyo itachukua si chini ya miaka 10 mbeleni, kama Russia tu inflation imekuwa ivi basi jua china itakuwa mara 10 yake kwenye nchi zao na chumi nyingi zitaanguka, china si tu ana export bidhaa zake ila ana import rawmaterial kote duniani ana import bidhaa nyingi za kilimo kutoka nchi zote za ulaya pamoja na marekani kwa ujumla ndyo nchi yenye soko la uwakika kwa bidhaa ghali za ulaya na marekani kumtingisha uyu ni kutingisha chumi zao wao wenyewe wakitoka apo kwenye kikao cha G7 mmoja mmoja anarudi mwenyewe kuongea na raisi wa china usiisi wanafanya ivyo kwa baati mbaya ila wanajua vile uchumi wa china ni muhimu kwao.

China si yule wa miaka ya 90 saivi ana nguvu ambazo c za kawaida wengi mnaongelea kuusu viwanda vingi vya ulaya na marekani kuwa china kwamba wakivitoa uchumi wa china utaangamia nawashaurini nendeni mkasome zaidi kuusu china alafu ndyo mje na kauli iyoo apa tena nchi za ulaya na marekani wakitaka makampuni yao yafilisike wayatoe china na ilo halitawezekana kwa sasa kwa sababu kuuu mbili 1. Utajiri wa china kwa sasa,kumbuka ni mkopeshaji mkubwa duniani kwaiyo anaweza kufanya yale anayofanya nchi nyingi za ulaya, uwezo wake wa kuanzisha kampuni inayotoa bidhaa kama zako na bora kuliko zako na bei ikawa chini kuliko yako moja kwa moja anakutoa sokoni bila kupenda 2. Amewekeza sana kwenye elimu na ujuzi unaoendana na soko linavyoitaji kwa sasa, CEO wa apple na aa TESLA walisema china inakuoffa watu wa aina zote kwa ujuzi uutakao
 
Soko kubwa la China lipò USA na Europe, usitegemee kumuona mtu yyte wa ulaya akanunua bidhaa za China ikiwa **** China ataendelea na policy zake za kuinyanyasa Taiwan.
Wrong. Soko kubwa la China ni ASEAN ndio inafuata EU inakuja U.S.A yanafuata pia mataifa mengine ya Asia.

Policies gani za China zinainyanyasa Taiwan ?
 
Wrong. Soko kubwa la China ni ASEAN ndio inafuata EU inakuja U.S.A yanafuata pia mataifa mengine ya Asia.

Policies gani za China zinainyanyasa Taiwan ?
Unabishana na ripoti na data zenu wenyewe, mimi hayo maneno sijatunga ni ripoti zenu ndizo zinazosema hivyo...

Sasa tueleweje, which is which? Tukuamini wewe au bodi yenu ya statistics?
 
Unabishana na ripoti na data zenu wenyewe, mimi hayo maneno sijatunga ni ripoti zenu ndizo zinazosema hivyo...

Sasa tueleweje, which is which? Tukuamini wewe au bodi yenu ya statistics?
Nimeuliza kuhusu humanity unanitajia ripoti. I don't understand you
 
Ni kweli Ila kwa kiuhalisia ni ngumu mzani kuwa sawa sababu ya uhitaji kati yao China ni manufacturer hub anatengeneza bidhaa nyingi kwa gharama ndogo kuliko wao na west wanategemea sana viwanda vya China kustabiliz mfumuko wa bei kwenye nchi zao na wanalijua iloo.
Mfano mdogo ni zile tarrif walizokuwa wanapigiaana China na marekani kipindi cha trump China ilipiga tarrif bidhaa za kilimo za marekani ikapelekea maziwa kuaribika na kukosa soko kabisa hadi wakulima wakaanza maandamano
Mfumuko wa bei Marekani na Ulaya huwa unasabaishwa na bei za mafuta na sera za kifedha/benki sio hizo bidhaa za mchina.
 
Policies za west is all about humanity. Since when ?
Policy za west zimekuwa zikilinda haki za binadamu kwa muda wote mpaka hivi sasa,

Ndio maana jambo kama lilitokea Tienanman square hauwezi kuliona popote pale kwenye nchi za magharibi na ndio maana China kwa nguvu kubwa imejaribu kuuficha huu uchafu kwa kuhakikisha mtu yoyote hapati detail yoyote inayohusu Tienanman square na si ajabu na ww hapa ukakataa kwamba yale mauaji hayakutokea
 
Policy zimekuwa zikilinda haki za binadamu kwa muda wote mpaka hivi sasa,

Ndio maana jambo kama lilitokea Tienanman square hauwezi kuliona popote pale kwenye nchi za magharibi
Nimekuuliza toka lini mpaka sasa hujatoa ufafanuzi wa swali hilo nikuelewe vipi ?
 
Nilikuwa naangalia ...mchambuzi mmoja anasema future techology china anazicontrol sio green energy,sio battery,sio manufacturing,sio trains na vingone vingi
"Mchambuzi" alisema "ku control" ina maanisha nini??
 
Hij
Kuweka vikwazo kwa chips za Marekani is good for nothing sana sana watakaoumia ni wao wenyenyew china kukosa huduma kwa watu wao tokea vile wao wanashindwa kuzalisha, Taiwan ndo washakukoroga kwisha habari yao wataendelea kutengeneza baiskeli na vyerahani vya kushonea nguo
Huijui China wewe
 
Nimekuuliza since toka lini mpaka sasa hujatoa ufafanuzi wa swali hilo nikuelewe vipi ?
Mara zote, USA imekuwa ikisisitiza free trade, diversity economy, respect of human rights n.k

Since ilipoundwa United Nations Nia ilikuwa kuyaleta mataifa pamoja na kuweka sheria za kimataifa ambazo pia mojawapo ni kulinda haki za binadamu ambazo China imekuwa pia ikizivunja

Mara zote China imekuwa ikihojiwa kuhusu waisilamu wa Urygur, mauaji ya Tienanman square na sasa mnataka kuivuruga Taiwan,,,,, hell no, hakuna mtu atakubaliana na hili,!! vyote hivi ni ukiukwaji wa haki za binadamu
 
View attachment 2632456
The Chinese government has told operators of important infrastructure in the country to stop buying products from the US chipmaker Micron Technology.

Its products carry “serious network security risks” that pose hazards to China’s information infrastructure and affect national security, the Cyberspace Administration of China said in a statement on its website.

The move is the latest example of tensions between the US and China over technology, after a US ban on using the social video app TikTok on government phones and restrictions imposed by Washington on the export of some sophisticated computer chips to China.

“Operators of critical information infrastructure in China should stop purchasing products from Micron,” the Chinese agency said on Sunday. A US Department of Commerce spokesperson said the move had “no basis in fact”. The China and Hong Kong market accounts for about 15% of revenues at Micron, and the company’s shares dropped 3.7% in early trading in New York.

It generated $5.2bn (£4.2bn) of revenue from China, including $1.7bn from Hong Kong last year, about 16% of its total revenue, according to Jefferies.

Last year the U.S. government banned the export of cutting-edge chips, including artificial intelligence chips and specific GPUs from companies like AMD and Nvidia, to China also U.S blacklisted top Chinese memory chip maker YTMC.
China inatakiwa iwashukuru sana Wamarekani kwa jinsi vyuo vyao vya MIT, Stanford, Havard n.k walivyowasomeshea wanasayansi wa Taiwan waliounda makampuni makubwa ya semiconductors kama TSMC. Pia na wizi wa teknolojia za West umewasaidia sana.
 
Kuhusu malalamiko ya viongozi wa kampuni ya Micron ?

Kushuka kwa mapato kwa mwaka ambayo kampuni itapata kutoka China hiyo pia ni hasara kubwa.
Baadhi ya waswahili hilo wala hawalioni!! Masaa yote wanafikiri US is invincible, ie haiwezi kuadhiliwa kiuchumi na wenzao wakipania kuzuia madini wanayo yategemea sana kwenye viwada vyao vya HiTech - mfano earth rare metals na titanium nk.
 
Back
Top Bottom