Duh!Hata 65 nm ya miaka 10 ama 20 iliopitwa inaitwa nanotechnology, haimaanishi ni manufacturing process ya kisasa.
China hana Kampuni ya kisasa ya kutengeneza Soc thats a fact. Huawei alivyokua banned kutumia TSMC aliacha kabisa kutengeneza Kirin sababu hakuna alternative China, Soc za Huawei za miaka kadhaa iliopita bado ni za kisasa kuliko China anachoweza kutengeneza leo.
Wee nae, production cost kuwa low inaweza kutengenezwa nchi yoyote iliyo na Sera nzuri ya uwekezaji pamoja na energy ya kutosha pamoja na wananchi wenye elimu ya kati wanaoweza kufundishika.Wewe unaandika upumbavu gani? Unajua kampuni zilizochina zinamake profit kias gani? Unafikiri anayeumia ni China au west??. Nasubir apple watoke China afu tuone kama iphone zitazagaa bongo. Apple wenyewe wanakwambia wamepiga faida kutoka China unafikir easy sana.
China na Russia production cost ziko low sana ndomana unaona makampuni yao yanakimbilia huko. Wameshindwa Russia wataweza China??
Marekani anawaingiza chaka wenzie, yeye mwenyewe anataka kuapproval Debt ceiling hali ni mbaya huko, dollar ishakua shida kila kona.
Sio kweli eti nchi yoyote inaweza ,ukiambiwa ufanye kuasembele apple pale marekani hiyo cm ikifika hapa bongo itakuwa inauzea 5m bila kodiWee nae, production cost kuwa low inaweza kutengenezwa nchi yoyote iliyo na Sera nzuri ya uwekezaji pamoja na energy ya kutosha pamoja na wananchi wenye elimu ya kati wanaoweza kufundishika.
Wee nae, production cost kuwa low inaweza kutengenezwa nchi yoyote iliyo na Sera nzuri ya uwekezaji pamoja na energy ya kutosha pamoja na wananchi wenye elimu ya kati wanaoweza kufundishika.
Sio kweli eti nchi yoyote inaweza ,ukiambiwa ufanye kuasembele apple pale marekani hiyo cm ikifika hapa bongo itakuwa inauzea 5m bila kodi
Jana nilikuwa busy sana. Leo nakupiga kwa factsKirin imetengenezwa na TsMC ya Taiwan nimeshakuambia toka huko juu, tatizo hata husomi.
Smic alikua ananunua DUV toka Asml sasa hivi ndio kapigwa ban.
Sikakataa
Sijakataa
Ila zote hizo mbili zinasuport hoja yangu na sio hoja yako, hao wanafanya research sababu hawana hio technology, wanataka kupata Tech kama hio, kama nilivyokuambia huko juu Dunia Nzima EUV utaipata Asml uholanzi tu.
Baada ya kukataliwa kutumia hio tech imebidi China waanze kutafuta na wao ila kwa sasa hawana uwezo huo.
Chips za Micron Chinese wame master tayari na inasemekana wanazo nzuri zaidi, hii vita ya chips kaianza US lakini inavyoonekana China atamaliziaKuweka vikwazo kwa chips za Marekani is good for nothing sana sana watakaoumia ni wao wenyenyew china kukosa huduma kwa watu wao tokea vile wao wanashindwa kuzalisha, Taiwan ndo washakukoroga kwisha habari yao wataendelea kutengeneza baiskeli na vyerahani vya kushonea nguo
Chips za Micron Chinese wame master tayari na inasemekana wanazo nzuri zaidi, hii vita ya chips kaianza US lakini inavyoonekana China atamalizia
Duh aisee kazi ipo aliyekwambia kuwa uamishwaya viwand kwenye nchi nyingine wanaangalia Sera nzuri na skilled labour tu kama ni ivyoo basi wangeviamiasha kwenye nchi nyinggine za Asia ambazo Sera na skilled labour wapo wakutoshaWee nae, production cost kuwa low inaweza kutengenezwa nchi yoyote iliyo na Sera nzuri ya uwekezaji pamoja na energy ya kutosha pamoja na wananchi wenye elimu ya kati wanaoweza kufundishika.
Duh!! Nayo mpya. Naendelea kujifunzaDuh aisee kazi ipo aliyekwambia kuwa uamishwaya viwand kwenye nchi nyingine wanaangalia Sera nzuri na skilled labour tu kama ni ivyoo basi wangeviamiasha kwenye nchi nyinggine za Asia ambazo Sera na skilled labour wapo wakutosha
Kwa kukusaidia tu China ina matajiri wengi wenye vipato vikubwa baada ya marekani iyoo inaipa nguvu kwenye manunuzi saababu kubwa moja wapo ni iyoo nchi kuwa na uwezo wa kununua bidha za ulaya ni ssababu moja wapo inayovutia mamampuni makubwaa kufungua viwandaa vyao China, Sera na skilled labour ni sehhemu ndogo sana kwenye production ya bidhaa yoyote
China anapata maffuta kwa bei nafuu sana kutoka Irani na Venezuela anapata ggesi kwa bei nafuu sana kutoka Russia tofauti na ulaya ambapo gharama za nishhati na kodi ni kubw sanaAisee watu wako shallow sana humu.Yokea kipindi Cha raisi Trump China Alisha jifunza kitu.Mizengwe ya microchip ilivoanza akaamua aanze kutengeneza za kwake na Cha ajabu wiki iliyo pita westerners wenyewe wamekiri microchip wanazo jitengenezea China ni za kiwango kikubwa ajabu.Na imekuwa una ubira namba mbili ulimwengu in a short period of time.China kuamua kufanya haya maamuzi ni kwamba anajiweza.Na pia as long as anaacha kuchukua huko America ni uasara kwa America na sio kwake Kwan wao America ndo wana kosa pesa.Kuhusu wawekezaji wa viwanda hebu kuweni serious basi.Kilicho ifikisha China hapo ikipo ni Cheap Labor with high skills.Kitu ambacho Duniani Bado hakuna anae ipiku China mpaka sasa na hakuna anae msogelea.Raisi wa France juzi kati alivoenda China ishu ilikuwa ni kuhamishia viwanda vya France China na Europe kwa sasa hapawezekani kwa uwekezaji.Mafuta ya bei chee sasa Yako China.Gesi ya bei chee sasa Iko china na sio Ulaya Tena.Yan watu wengine wanaongea mambo mpaka wanachekesha.Muko mbali sana na dunia inavokwenda.
Tesla kafungua kiwandaa kikubwa sana cha magari ya umeme China mwaka juzi baada ya uhitaj mkubwa wa magari ya umeme ndani ya China na msambazaji wa betri za magari ya tesla ni kampuni ya china, Apple kashindwa kuamisha kiwanda chake kkikubwa cha kuunda cm yote sababu mnunuzi mkubwaa wa iPhone ni China nani anataka kuliacha ili soko? Leo nasom article moja voswagen wanalalamika robo ya kwanza ya mwakaa mapato yao yamepungua kwenye soko la China yote sababu gharama kkubwa ya nishatiDuh!! Nayo mpya. Naendelea kujifunza
China ndiyo nchi yenye reserve kubwa ya dollars.Tesla kafungua kiwandaa kikubwa sana cha magari ya umeme China mwaka juzi baada ya uhitaj mkubwa wa magari ya umeme ndani ya China na msambazaji wa betri za magari ya tesla ni kampuni ya china, Apple kashindwa kuamisha kiwanda chake kkikubwa cha kuunda cm yote sababu mnunuzi mkubwaa wa iPhone ni China nani anataka kuliacha ili soko? Leo nasom article moja voswagen wanalalamika robo ya kwanza ya mwakaa mapato yao yamepungua kwenye soko la China yote sababu gharama kkubwa ya nishati
Engineer wa nini? Hebu ondoa ushamba wako hapa wewe.Mimi ni engineer dogo, usinichukulie poa poa
Dogo ishu yatech ni hatimilik angalia jinsi mmarekan anavyohangaika kupata hypersonic missile ambazo mrusi anazo kibao tu ila yeye kila akitengeneza anafel coz hana techSawa! Ila bado sijaona sababu ya haya mataifa mengine kushindwa kumiliki hiyo technology labda kuna term and condition au copywrite au vyovyote ila kwa sababu hizi nyepesi bado hawashindwi kununua hiyo yechnology