Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

Hata 65 nm ya miaka 10 ama 20 iliopitwa inaitwa nanotechnology, haimaanishi ni manufacturing process ya kisasa.

China hana Kampuni ya kisasa ya kutengeneza Soc thats a fact. Huawei alivyokua banned kutumia TSMC aliacha kabisa kutengeneza Kirin sababu hakuna alternative China, Soc za Huawei za miaka kadhaa iliopita bado ni za kisasa kuliko China anachoweza kutengeneza leo.
Duh!
 
Wewe unaandika upumbavu gani? Unajua kampuni zilizochina zinamake profit kias gani? Unafikiri anayeumia ni China au west??. Nasubir apple watoke China afu tuone kama iphone zitazagaa bongo. Apple wenyewe wanakwambia wamepiga faida kutoka China unafikir easy sana.

China na Russia production cost ziko low sana ndomana unaona makampuni yao yanakimbilia huko. Wameshindwa Russia wataweza China??

Marekani anawaingiza chaka wenzie, yeye mwenyewe anataka kuapproval Debt ceiling hali ni mbaya huko, dollar ishakua shida kila kona.
Wee nae, production cost kuwa low inaweza kutengenezwa nchi yoyote iliyo na Sera nzuri ya uwekezaji pamoja na energy ya kutosha pamoja na wananchi wenye elimu ya kati wanaoweza kufundishika.
 
Sio kweli eti nchi yoyote inaweza ,ukiambiwa ufanye kuasembele apple pale marekani hiyo cm ikifika hapa bongo itakuwa inauzea 5m bila kodi
 
Wee nae, production cost kuwa low inaweza kutengenezwa nchi yoyote iliyo na Sera nzuri ya uwekezaji pamoja na energy ya kutosha pamoja na wananchi wenye elimu ya kati wanaoweza kufundishika.

Kwenye production cost tunaangalia factor gani muhimu ambayo inaweza kuvutia uwekezaji???
 
Kirin imetengenezwa na TsMC ya Taiwan nimeshakuambia toka huko juu, tatizo hata husomi.

Smic alikua ananunua DUV toka Asml sasa hivi ndio kapigwa ban.

Sikakataa

Sijakataa
Ila zote hizo mbili zinasuport hoja yangu na sio hoja yako, hao wanafanya research sababu hawana hio technology, wanataka kupata Tech kama hio, kama nilivyokuambia huko juu Dunia Nzima EUV utaipata Asml uholanzi tu.

Baada ya kukataliwa kutumia hio tech imebidi China waanze kutafuta na wao ila kwa sasa hawana uwezo huo.
Jana nilikuwa busy sana. Leo nakupiga kwa facts

Tunaanza HIsilcon company tanzu ya HUAWEI

Screenshot_20230525-073838.png
 
Aisee watu wako shallow sana humu.Yokea kipindi Cha raisi Trump China Alisha jifunza kitu.Mizengwe ya microchip ilivoanza akaamua aanze kutengeneza za kwake na Cha ajabu wiki iliyo pita westerners wenyewe wamekiri microchip wanazo jitengenezea China ni za kiwango kikubwa ajabu.Na imekuwa una ubira namba mbili ulimwengu in a short period of time.China kuamua kufanya haya maamuzi ni kwamba anajiweza.Na pia as long as anaacha kuchukua huko America ni uasara kwa America na sio kwake Kwan wao America ndo wana kosa pesa.Kuhusu wawekezaji wa viwanda hebu kuweni serious basi.Kilicho ifikisha China hapo ikipo ni Cheap Labor with high skills.Kitu ambacho Duniani Bado hakuna anae ipiku China mpaka sasa na hakuna anae msogelea.Raisi wa France juzi kati alivoenda China ishu ilikuwa ni kuhamishia viwanda vya France China na Europe kwa sasa hapawezekani kwa uwekezaji.Mafuta ya bei chee sasa Yako China.Gesi ya bei chee sasa Iko china na sio Ulaya Tena.Yan watu wengine wanaongea mambo mpaka wanachekesha.Muko mbali sana na dunia inavokwenda.
 
Kuweka vikwazo kwa chips za Marekani is good for nothing sana sana watakaoumia ni wao wenyenyew china kukosa huduma kwa watu wao tokea vile wao wanashindwa kuzalisha, Taiwan ndo washakukoroga kwisha habari yao wataendelea kutengeneza baiskeli na vyerahani vya kushonea nguo
Chips za Micron Chinese wame master tayari na inasemekana wanazo nzuri zaidi, hii vita ya chips kaianza US lakini inavyoonekana China atamalizia
 
Kuna watu humu sjui uelewa wao ni wa elimu ya kiwango gani.Jamani hizi sim zetu tuzitumie pia kwaajili ya kujua dunia inavokwenda sio udaku tu na porn.Pendeleeni kutembelea mitandao ambayo sio pro westerners Ili muweze ku balance habari.Kwa ujumla mpaka sasa kitu kinaitwa G-7 kiuchumi ni nchi zilipendwa.Now Tiger Countries ambazo karibia zote ziko BRICS ndo pesa ilikipo.Yaani yakuongea ni mengi lkn mda ndo mchache.
 
Wee nae, production cost kuwa low inaweza kutengenezwa nchi yoyote iliyo na Sera nzuri ya uwekezaji pamoja na energy ya kutosha pamoja na wananchi wenye elimu ya kati wanaoweza kufundishika.
Duh aisee kazi ipo aliyekwambia kuwa uamishwaya viwand kwenye nchi nyingine wanaangalia Sera nzuri na skilled labour tu kama ni ivyoo basi wangeviamiasha kwenye nchi nyinggine za Asia ambazo Sera na skilled labour wapo wakutosha

Kwa kukusaidia tu China ina matajiri wengi wenye vipato vikubwa baada ya marekani iyoo inaipa nguvu kwenye manunuzi saababu kubwa moja wapo ni iyoo nchi kuwa na uwezo wa kununua bidha za ulaya ni ssababu moja wapo inayovutia mamampuni makubwaa kufungua viwandaa vyao China, Sera na skilled labour ni sehhemu ndogo sana kwenye production ya bidhaa yoyote
 
Duh!! Nayo mpya. Naendelea kujifunza
 
Aisee watu wako shallow sana humu.Yokea kipindi Cha raisi Trump China Alisha jifunza kitu.Mizengwe ya microchip ilivoanza akaamua aanze kutengeneza za kwake na Cha ajabu wiki iliyo pita westerners wenyewe wamekiri microchip wanazo jitengenezea China ni za kiwango kikubwa ajabu.Na imekuwa una ubira namba mbili ulimwengu in a short period of time.China kuamua kufanya haya maamuzi ni kwamba anajiweza.Na pia as long as anaacha kuchukua huko America ni uasara kwa America na sio kwake Kwan wao America ndo wana kosa pesa.Kuhusu wawekezaji wa viwanda hebu kuweni serious basi.Kilicho ifikisha China hapo ikipo ni Cheap Labor with high skills.Kitu ambacho Duniani Bado hakuna anae ipiku China mpaka sasa na hakuna anae msogelea.Raisi wa France juzi kati alivoenda China ishu ilikuwa ni kuhamishia viwanda vya France China na Europe kwa sasa hapawezekani kwa uwekezaji.Mafuta ya bei chee sasa Yako China.Gesi ya bei chee sasa Iko china na sio Ulaya Tena.Yan watu wengine wanaongea mambo mpaka wanachekesha.Muko mbali sana na dunia inavokwenda.
China anapata maffuta kwa bei nafuu sana kutoka Irani na Venezuela anapata ggesi kwa bei nafuu sana kutoka Russia tofauti na ulaya ambapo gharama za nishhati na kodi ni kubw sana
 
Duh!! Nayo mpya. Naendelea kujifunza
Tesla kafungua kiwandaa kikubwa sana cha magari ya umeme China mwaka juzi baada ya uhitaj mkubwa wa magari ya umeme ndani ya China na msambazaji wa betri za magari ya tesla ni kampuni ya china, Apple kashindwa kuamisha kiwanda chake kkikubwa cha kuunda cm yote sababu mnunuzi mkubwaa wa iPhone ni China nani anataka kuliacha ili soko? Leo nasom article moja voswagen wanalalamika robo ya kwanza ya mwakaa mapato yao yamepungua kwenye soko la China yote sababu gharama kkubwa ya nishati
 
China ndiyo nchi yenye reserve kubwa ya dollars.
 
Sawa! Ila bado sijaona sababu ya haya mataifa mengine kushindwa kumiliki hiyo technology labda kuna term and condition au copywrite au vyovyote ila kwa sababu hizi nyepesi bado hawashindwi kununua hiyo yechnology
Dogo ishu yatech ni hatimilik angalia jinsi mmarekan anavyohangaika kupata hypersonic missile ambazo mrusi anazo kibao tu ila yeye kila akitengeneza anafel coz hana tech
 
Haya mambo daaa yan kwakili yakawaida huwez hata kuimagine [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Pro west mnamchukulia china kama vile mwigulu..kwa ufupi China now anajitosheleza hakuna kampuni yoyote ya ulaya isiyolitaka soko la china cheap labour with high skilled utawapata wapi apa duniani? Kama siyo china siyo apple wala Tesla wenye uwezo wa kuondoka china..
 
Hii ni dalili kwamba China amesha master manufacturing ya latest chips. Atakuwa kafikia pazuri 7nm-4nm thats why anaweza kupata ujasiri wa kuzi sanction kampuni kama Micron. Vita ya semiconductors walianza US ila China anaenda kuimaliza once and for all.
 
Back
Top Bottom