TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
Duh!Hata 65 nm ya miaka 10 ama 20 iliopitwa inaitwa nanotechnology, haimaanishi ni manufacturing process ya kisasa.
China hana Kampuni ya kisasa ya kutengeneza Soc thats a fact. Huawei alivyokua banned kutumia TSMC aliacha kabisa kutengeneza Kirin sababu hakuna alternative China, Soc za Huawei za miaka kadhaa iliopita bado ni za kisasa kuliko China anachoweza kutengeneza leo.