Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

Mpaka wewe kutoka Namtumbo umeweza iweje China ambayo sera za nchi ni uchumi wa kiteknolojia?

Nimekueleza Law of physics ni zile zile tu.
Also hatuongelei programming of microcontroller we are talking about making them.

Mimi mtoto wangu ana programming microcontroller.

Hakuna kipya ulichoandika hapa.
 
Wewe nenda huko. Usitudanganye.
Nakupatia makampuni machache tu:-

1. Alibaba Group
2. Tencent Holdings
3. Baidu, Inc.
4. Xiaomi Corporation
5. JD.com
6. Huawei Technologies Co., Ltd.
7. ByteDance
8. Didi Chuxing
9. Meituan Dianping
10. ZTE Corporation
11. NetEase
12. Weibo Corporation
13. Kingsoft Corporation
14. iQiyi
15. Ctrip (Trip.com Group)
 
Kwa nini walienda kuwekeza China na sio kwao au mataifa mengine? Ukipata jibu njoo tudiscuss sasa kwa fact

Anakwambia US kafanya uwekezaji mkubwa China wakati hapo almost 80% ya viwanda vya China vinamilikiwa na Serikali. Wao wanafikiri makampuni yao yakitoka China, bhs uchumi wa China utakufa hio ndo furaha yao.

Ukiwauliza kwanini Makampuni yao yanakimbilia China? hana la kukujibu, hawa watoto wa US unapoteza muda, wanauchukulia uchumi juu juu sana.
 
Naomba unitofautishie mchina na mtaiwan kimuonekano na uwezo wa kufikiri ?

Kumbuka 95% za watu wanaoishi Taiwan ni Han
 
Mkuu umedadavua kisomi
 
Uwezo wako wa kufikiri na kuelezea mambo unatia mashaka sana.
 
Makampuni mengi ya China yana agiza chips zenye ubora zaidi upande wa simu kutoka makampuni ya nje.
Sasa unaendelea kuhamisha magoli tu nitazidi kukupiga misumali tu.

ZTE Corporation, a Chinese multinational telecommunications equipment and systems company, has a global presence and its products are used in numerous countries around the world. ZTE operates in over 160 countries and regions, providing telecommunications infrastructure, networking equipment, and consumer electronics.

Some of the countries where ZTE products are used include:

1. China (ZTE's home market)
2. United States
3. Germany
4. United Kingdom
5. France
6. Italy
7. Spain
8. Brazil
9. Russia
10. India
11. Australia
12. South Africa
13. Saudi Arabia
14. United Arab Emirates
15. Mexico

This is not an exhaustive list, and ZTE products can be found in many other countries as well. ZTE has a significant presence in both developed and emerging markets, offering a range of telecommunications solutions and devices.
 
Hawa watu wa namna hii hawana uelewa kuhusu uchumi, teknolojia na siasa zinavo fanya kazi sipendi sana kujadiliana nao.
 
Haina impact? Hivi unaelewa maana ya kampuni kupoteza robo ya mapato? Au hauna idea na masuala ya biashara?
 
Hayo ni mawazo yako, Marekani na ulaya wanaihitaji china Sana,na ndio wanaofanya biashara kubwa duniani, Kumbuka kuwa kwasasa china ni unstoppable ni manufacturing hub ya dunia.
 
Hapa tunaongea kwa facts sio propaganda

Tencent Holdings, a leading technology conglomerate from China, offers a wide range of products and services across various sectors. Tencent's products and platforms have gained popularity globally. While it may be challenging to provide an exhaustive list, here are some countries where Tencent products are used:

1. China (Tencent's home market)
2. United States
3. India
4. Thailand
5. Malaysia
6. Indonesia
7. South Korea
8. Japan
9. Singapore
10. Philippines
11. Brazil
12. Russia
13. United Kingdom
14. Germany
15. France

These are just a few examples, and Tencent's products and services have a global reach with users in many other countries as well. Tencent is known for its diverse offerings, including social media platforms (such as WeChat and QQ), gaming platforms (like Tencent Games), entertainment services, fintech services, and more.
 
China ni Moja ya masoko muhimu ya marekani
 
Swala sio china kuwa super ,hatutaki taifa Moja kuendesha mataifa mengine na kulazimisha tamaduni ZAO mfano ushoga na usagaji
 
Umekua mgumu kuelewa. Makampuni ya simu ya China ni chips gani bora zinaweka kwenye simu na zina toka wapi ?
 
Mchina akizuia kitu ujue tayari ashaanza kukitengeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…