KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Sonso au?.
Daaah!, Apumzike kwa Amani.Huyo
Inasemekana amefia Muhimbili National HospitalR.i.P Ally Mtoni sonso.
ongeza nyama mkuu alikua anaumwa au vipi,msiba umetokea wapi?
Innalillahy Wainna Illaihy Rajiun. Allah amsamehe makosa yake na amjaalie kauli thabit.
Msiba umetokea Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu, Majeraha ya mguu .R.i.P Ally Mtoni sonso.
ongeza nyama mkuu alikua anaumwa au vipi,msiba umetokea wapi?