TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

Kwa mguu huu lazima kuna kitu alifanya. Uenda alitembea na mke wa Mpemba. Hawa watu sio kabisa. Sidhani kama ni mpira tu. Ama alikuwa na kansa. RI.I.P SONSO
.
Pia hata hizi chaki za uwanjani zina side effects
Kumbuka inshu ya Mathias mulumba miaka ya nyuma kama kumbukumbu zangu zipo sawa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom