TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

Beki wa kati Ally Mtoni Sonso amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Taaarifa zinaeleza, mchezaji huyo ambaye amewahi kuichezea Yanga siku za nyuma alikiwa akisumbuliwa na mguu.
View attachment 2116291View attachment 2116292
 

Attachments

  • IMG-20220211-WA0045.jpg
    IMG-20220211-WA0045.jpg
    55.1 KB · Views: 23
Msiba umetokea Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu, Majeraha ya mguu .
Nimeona hilo jeraha la mgu mtandaoni,mguu umeathirika sana,alikuwa anapata matibabu wapi? maana nimesikia Muhimbili alipelekwa jana!...Daah,Pole nyingi kwa wafiwa.
 
Duh!

Yaani majeraha ya mguu ndio yachukue uhai wa mtu?

Labda alikuwa na kisukari au kansa !!!
Hapa kuna jambo la kujiuliza vizuri. Hii taarifa iko nusunusu. Hili liwekwe sawa ili tupate pa kuanzia husani suala la usalama na uhai wa wachezaji
 
Anyway sisi wengine sio wataalam mambo ya Afya lakini unapoambiwa mguu ndio umemuondoa inashangaza. Pia ingawa tunasema ikipangwa imepangwa lakini pia akili inasema huenda angetibiwa nje ishingekuwa hivi
 
Back
Top Bottom