TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

Noooma sana binadamu cc
FB_IMG_16446087577611250.jpg
 
Nimeona hilo jeraha la mgu mtandaoni,mguu umeathirika sana,alikuwa anapata matibabu wapi? maana nimesikia Muhimbili alipelekwa jana!...Daah,Pole nyingi kwa wafiwa.
Hospitalini kapelekwa baada ya mambo kushindikana kabisa kule kwenye tiba mbadala.
 
Duh!

Yaani majeraha ya mguu ndio yachukue uhai wa mtu?

Labda alikuwa na kisukari au kansa !!!
Muhimbili kaenda ili kuondoa aibu ya kufia mahala, kabla ya hapo alikuwa kwa wafumu, mpaka pale hali ilipobadilika.
 
Anaidai yanga hela nyingi sana wafanye wamlipe mtu kashatangulia mbele ya haki tena deni sio zuri.
 
Kwa mguu huu lazima kuna kitu alifanya. Uenda alitembea na mke wa Mpemba. Hawa watu sio kabisa. Sidhani kama ni mpira tu. Ama alikuwa na kansa. RI.I.P SONSO
.
 
Back
Top Bottom