TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

Msiba umetokea Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu, Majeraha ya mguu .
Nimeona hilo jeraha la mgu mtandaoni,mguu umeathirika sana,alikuwa anapata matibabu wapi? maana nimesikia Muhimbili alipelekwa jana!...Daah,Pole nyingi kwa wafiwa.
 
Duh!

Yaani majeraha ya mguu ndio yachukue uhai wa mtu?

Labda alikuwa na kisukari au kansa !!!
Hapa kuna jambo la kujiuliza vizuri. Hii taarifa iko nusunusu. Hili liwekwe sawa ili tupate pa kuanzia husani suala la usalama na uhai wa wachezaji
 
Anyway sisi wengine sio wataalam mambo ya Afya lakini unapoambiwa mguu ndio umemuondoa inashangaza. Pia ingawa tunasema ikipangwa imepangwa lakini pia akili inasema huenda angetibiwa nje ishingekuwa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…