Beki wa Simba Rushine De Reuck alibabuliwa na mpira usoni akawa anagalagala chini, alipoona hatari golini kwake akasimama kuendelea na mchezo

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Wachezaji wanaojitambua wanastahili heshima ya kipekee.

Wachezaji wengi wa Tanzania hawafiki mbali maana hawajitambui. Wanalipwa mshahara, halafu wanageuka tena wanapokea hongo kukwamisha timu zinazowalipa mshahara. Wakifungwa hawajali, yaani kwao kucheza kwa bidii na maarifa siyo shida zao. Halafu ukute sasa wamezungukwa na viongozi ambao badala ya kuwasimamia wafanye vizuri ndiyo kwanza wanashirikiana nao kuhujumu.

Katika mechi ya Simba vs Yanga, kuna tukio ambalo shuti kali lilikuwa linaenda golini kwa Simba, beki Rushine De Reuck akajitoa mhanga kuupiga kichwa. Hiki kitu niliwahi kumuona Ibrahim Bacca akikifanya. Yale maumivu yakampeleka Rushine chini. Refa hakupuliza filimbi ili kumuangalia hali yake na hatari ikarudi golini kwa Simba.

Rushine alipoona hivyo, akalazimika kusimama kulinda lango huku akiendelea kuugulia. Ni nadra sana kukuta wachezaji wa Simba wanaojituma namna hii.

Huyu jamaa atafika wakati akishaona anajali peke yake na kila aliyemzunguka hajali, na yeye ataanza vituko.

Katika habari zingine, kuna mfanano wowote kati ya haya matukio mawili?



Your browser is not able to display this video.
 
Nitakuja kuangusha uzi mmoja matata sana ndiyo utakuwa ujumbe wangu wa mwisho. Baada ya hapo hautaniona tena.
Utaonekana tena kolo akianza kumfunga Yanga.

Sio wewe tu hata baadhi ya makolo wenzako kina Kalpana cocastic Scars CAPO DELGADO wamelikimbia kimtindo jukwaa japo naamini watarudi simba ikianza kumfunga Yanga.
 
Huyo jamaa mwehu namkumbuka alikuwa anapenda kupost mada kila mara halafu za kiduwanzi .

Sijui amekula ban maana ilikuwa ujue maana halisi ya mbumbumbu ilikuwa kupitia jamaa huyo.
Huyo ana ID kibao tu kama felakuti, chizi maarifa n.k
Mwasibu fake OKWBOBANSUNZU yeye kajipa jina la kike anajiita kipenzi changu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…