Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Huenda ndo maana anatishia nyauHuyu ndo SAYAVILE
Sasa anataka allog off kwa Pasadena then allog in kwa sayavile
Huenda ndo maana anatishia nyauHuyu ndo SAYAVILE
Akija atakuja na ID mpya kwasababu hiyo Sayvile aliibadilisha baada ya kukaririwa na member wengi kuwa ni kilaza proHuenda ndo maana anatishia nyau
Sasa anataka allog off kwa Pasadena then allog in kwa sayavile
Huyo jamaa mwehu namkumbuka alikuwa anapenda kupost mada kila mara halafu za kiduwanzi .
Sijui amekula ban maana ilikuwa ujue maana halisi ya mbumbumbu ilikuwa kupitia jamaa huyo.
Ameishia tu kubadilisha jina kutoka SAYYVILE, na kuwa PASADENA! Nje ya hapo, hakuna kitu kingine zaidi ya malalamiko tu. 😀
Huyo ana ID kibao tu kama felakuti, chizi maarifa n.k
Mwasibu fake OKWBOBANSUNZU yeye kajipa jina la kike anajiita kipenzi changu
Wanaume wazima tena mna mbupu zenu kabisa zinaning'inia, mnaacha kujadili mada mbili zilizopo katika uzi mnajikita kujadili ID ya mchangiaji. Hii dunia inaelekea kihama walahi tena.Huenda ndo maana anatishia nyau
Sasa anataka allog off kwa Pasadena then allog in kwa sayavile
Umejiit deleted accountWanaume wazima tena mna mbupu zenu kabisa zinaning'inia, mnaacha kujadili mada mbili zilizopo katika uzi mnajikita kujadili ID ya mchangiaji. Hii dunia inaelekea kihama walahi tena.
Hii account imekuwa deleted.
By Mods.
Ana utoto mwingi sana, yaani alivyokuwa yeye mbumbumbu basi anadhani watu wote humu jukwaani ni mambumbumbu kama yeye. Ka comment halafu eti chini anaandika by Mods. Hata kuongopa hajui bora hata angekaa kimya. Kashindwa hata kuwaza kuwa mods hawezi kujibu comment kupitia ID ya mtu.Umejiit deleted account
Mbumbumbu mna tatizo Gani vichwani?
Inaonesha jinsi gani ulivyokuwa na akili kisoda account imeshakuwa deleted unawezaje kucomment?Wanaume wazima tena mna mbupu zenu kabisa zinaning'inia, mnaacha kujadili mada mbili zilizopo katika uzi mnajikita kujadili ID ya mchangiaji. Hii dunia inaelekea kihama walahi tena.
Hii account imekuwa deleted.
By Mods.
Umetoka kujiita Pasadena sasa hivi unajiita deleted account.Wanaume wazima tena mna mbupu zenu kabisa zinaning'inia, mnaacha kujadili mada mbili zilizopo katika uzi mnajikita kujadili ID ya mchangiaji. Hii dunia inaelekea kihama walahi tena.
Hii account imekuwa deleted.
By Mods.
Ana hangaika kama kuku mteteaUmetoka kujiita Pasadena sasa hivi unajiita deleted account.
Halafu unacomment kabisa account yako imefutwa!
Bora ulivyobadili jina kufichua aibu maana ulikuwa kiazi maarufu hapa JF kwa ujinga na nyuzi za hovyo.Wanaume wazima tena mna mbupu zenu kabisa zinaning'inia, mnaacha kujadili mada mbili zilizopo katika uzi mnajikita kujadili ID ya mchangiaji. Hii dunia inaelekea kihama walahi tena.
Hii account imekuwa deleted.
By Mods.