Beki wa zamani wa Simba SC, Israel Mwenda atua Yanga kwa Mkopo akitokea Singida Big Stars

Unaweza kuwa na hela lakini muuzaji akagoma kukuuzia, Ni kama Simba tu wanavyomhitaji Feitoto lakini Azam hawataki kumuuza.Swala la kuuza linategemea uamuzi wa muuzaji zaidi kuliko mnunuzi
Everyone one in this world has a price...wee unachotakiwa ni kuigikia na kuipita buly far.
Contract za wachezaji ni buyout clause kwa mfano kama fei iwe 1 billion wee njoo na 1.5 billion uone kama kesho tuu mtu hajatua msimbazi anapiga danadana na ugoko akimfurahisha Kalpana
 
Unaweza kununua chupi ya VIP?(sijui hata kama umeshawahi kuiona) kwa sh milioni tano? Kuna bei ukitajiwa unajua tu muuzaji hana nia ya kuuza. Huyo Mwenda buy out clause yake pale Simba kwa mujibu wa Magori ilikuwa bilioni 1,unafikiri kuna timu ya kumnunua kwa bilioni moja?
 
Ndio tunarudi pale pale kuwa wee hujafikia hiyo bei...ukiifikia wanakupa tuu. Yule beki ande koffi ni beki haswa kwa sasa kwenye ligi kuu. Yule ata wakikwambia billion unalipa maana jamaa anajua. Mwenda siwezi lipa 1 billion...

Unalipaje billion kwa mchezaji hachezi huyo Magori mwenyewe sidhani kama alikuwa anamaanisha.
1 billion ni kwa mchezaji anayecheza week in week out na unaona kweli mwanaume akiingia uwanjani shughuli inapigwa.
 
Magori anamaanisha, labda hukumsikiliza, alisema wachezaji wote wa Simba wamewekewa buy out clause isiyopungua 1bil, lengo ni kuilinda klabu dhidi ya kupoteza wachezaji wazuri, akadai maongezi yapo ndio maana Israh na Inonga waliondoka bila kufikia hiyo clause
 
waliondoka

Hawa jamaa hapo serious maongezi yapo? Kuna maongezi gani tena wakati contract ipo hapo mbele yenu. Wachezaji sio mafungu ya nyanya mzeya. Watu wanaojiamini wana quality player wanakwambia tuu bei ni hii take it or leave it. Anayesema maongezi yapo huyo ana njaaa tuu
 
Back
Top Bottom