Umeona eeeh?Mwenye nuclear weapons ndiye anae heshimiwa
ndugu yangu sisi pia tupo ktk kuayhirika na haya mapigano... umeona wale wanafunzi wenye asili yetu ...mafuta tayari bei zishacheza hukoSi walushuiane makombora tuone itakuaje
Hakua na mpango wa kutumia nyukilia kwa Ukraine.Ila Urusi akitumia tu Nuclear kwenye hii Vita basi nitamdharau Sana. Maana mbaya wake sio Ukraine Ni NATO. Arushe kombora kwenye nchi za NATO au USA. Ni udhaifu mkubwa kuitishia nchi ya amani Kama Ukraine na Nuclear.
ndugu yangu sisi pia tupo ktk kuayhirika na haya mapigano... umeona wale wanafunzi wenye asili yetu ...mafuta tayari bei zishacheza huko
Wewe mbona unaropoka wapi urusi kataka kutumia siraha za nuke kwa nchi isiyo na siraha za nuke ,siraha za nuke na maonyo ya putin ni juu ya nchi zenye kumpinga zenye NUKE BOMU KWANZA KISHA KWA VIBARAKA WAO ,HII NDIYO INAIFANYA USA KUOGOPA KUINGIA VITANIIla Urusi akitumia tu Nuclear kwenye hii Vita basi nitamdharau Sana. Maana mbaya wake sio Ukraine Ni NATO. Arushe kombora kwenye nchi za NATO au USA. Ni udhaifu mkubwa kuitishia nchi ya amani Kama Ukraine na Nuclear.