Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Peponi Waislamu wameahidiwa mito inayotiririka pombe,na kuingiliana kimwili, huku wanaume wakiahidiwa kupewa mabinti bikira 60 na nguvu za kiume x100. Nadhani hicho ndicho kilichomvutia.Quran 47:15
Niki soma hii mistari huwa nahoji uwezo wa waislamu kufikiri.
 
Kila la kheri ** Mungu akuongoze **
 
Muislamu hautaki mabwabwa, sasa huyo kijana ameacha mambo ya ubwabwa?
Pia sina uhakika kama maisha ya huyo kijana yalikuwa ya kikristo hata chembe. Naona kama njia ya kutafuta kick.
Amefuata ule utaratib unapatikana kwa waumini wengi wa kiislam. Nasikia hata Ronald, Messi na wengine wameslimu. Kila la heri wana wa mtume Mohammad salaleh wasalam
 
imani ya mtu na iheshimiwe
maamuzi ya mtu na ya heshimiwe
usitilie dosari maamuzi ya mtu
kama unaona amekosea mtafute kwa faragha umwambie yamkini hakusikia maneno hayo kwa wengine bali ya kwako ndio tiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…