Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Halafu isitoshe dini yao ndio inamabwabwa kibao ndio maana kaamua kuwa karibu nao kirahisi.

Wapi wameonyesha dini A au B ndio kuna mabwabwa mengi?

Tabia ya mtu isiwe sababu ya kuchafua dini ambao anaitikia achana katika kuamini hii ni kitu nyingine
Maana hakuna muislam wa kweli au mkristo wa kweli akafanya vitendo vya kibwabwa
 
Past his prime, gold diggin' bongoflava singer with no shine. How could a man command any respect by constantly uploading pics of himslef posing next to wifey's Mercedes, Rolls Royce, BMW and Range Rovers?
Kitonga na ngai bradhee😂
 
Waislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.

Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.

Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?

By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.
Unavyozungumza Jambo Kama Hilo, Ingekuwa Vyema Zaidi Kama Ungejaribu Ku-Illustrate Hicho Unachokiongea Kuliko Kuongea Kwa Kebehi Na Dhihaka. Inna Lillahi Wa Inna Ilayhi Raji'un. Tuombe Radhi Waislam Tafadhali Kabla Jua Halijazama
 
Waislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.

Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.

Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?

By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.
Inahitaji utulivu mkubwa sana kutafakari uwepo au kutokuwepo kwa "MUNGU".

Kumekuwa na matumizi holela ya jina Mungu, kila Mtu anafanya anachofikiri na kujitahidi kushawishi wengine kwamba Mungu yupo upande wake....kama kweli unaamini uwepo wa Mungu mbo wala Mtu usingehitaji kutomia hizo nguvu zote kujitangaza?.

Mungu ni wewe mwenyewe, kwa kila unalolitenda kama linadhulumu na kuumiza nafsi nyingine basi mwisho wake Mungu wako atatenda kinachokustahili.

Huwezi leo ukamsababishia mwingine maumivu/ulemavu alafu ukaamini kuna Mungu wa kukuona wewe umefanya sawasawa na unastahili kila lililo la kheri.

Si vibaya kuwa na dini zitakazotukumbusha binaadamu kuyatenda yaliyo mema, lakini wote kama tunavyoshuhudia Miongoni mwetu hao hao binaadamu tunalaghaiana kwa kisingizio cha kwamba Mungu yupo na mimi.

Kama ambavyo hakuna Mungu wa kusimama pembeni na kukuangalia ukishambuliwa na Simba, basi hakuna Mungu wa kumzuia Simba asikushambulie...kushambuliwa au kutokushambuliwa na Simba kutatokana na sababu iliyojitokeza wakati ule ambayo si lazima sana wewe uifahamu...ndio maana hata Jambazi litamaliza kukudhulumu alafu litaenda kuwaambia wenzake "jamaa alifyatu risasi kumi lakini Mungu mkubwa zote zilinikosa".
 
Wamemchukua dogo janja sis tumemchukua Ben po ngoma droo apo
Ben pol anatafuta kiki coz kapigwa kibuti na mkenya so anatapatapa tu coz wakimwita wamuoji anakataa kuelezea hata marafiki wake wakushibana wanadai hawajui hilo na mwezi uliopita alitoa wimbo wa gospel
 
Back
Top Bottom