Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Dini ni utamaduni wa jamii flani tu......

Hivyo hakuna dini sahihi duniani sababu kila jamii ina tamaduni zao.......

Sisi waafrika ndo wajinga sababu tulipokea tamaduni za watu tukaacha tamaduni zetu.....ujinga....

Uislam ni tamaduni za waarabu.......

Ukristu ni tamaduni za wazungu.......

Africa pia tuna tamaduni zetu .....

Hivyo kuamini juu ya ukristu na uislam ni utumwa .....

Wake up AFRICA
Ukristu ni tamaduni za wazungu??

Nifafanulie hapa mkuu kama hutojali
 
Afadhali, mara matrilioni kuliko UKATOLIKI, kila la heri Ben Pol, nami mkatoliki nilishatoka huko fasta..
 
Past his prime, gold diggin' bongoflava singer with no shine. How could a man command any respect by constantly uploading pics of himslef posing next to wifey's Mercedes, Rolls Royce, BMW and Range Rovers?
 
Nguvu ya papuchi sio ya kuchezea!
Dogo janja na yeye aliona bora aokoke tu yaishe!
 
Waislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.

Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.

Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?

By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.
we bado mdogo sana kuelewa hizi mambo, tulia
 
Mwana muziki maarufu nchini Tanzania Ben Paul amebadili dini na kuwa muislam
9B7D99F0-E1DD-4F80-B9CB-1764C94322B0.jpeg
 
Waislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.

Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.

Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?

By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.
Ebu tueleze nguvu iliyotumika kwa benadi paulo maana wengine tumestuka kashabadili
 
Back
Top Bottom