naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Hayo yanakutoka baada Ben kuingia uislam au? Islam hapotezi pesa yake kumbadilisha mtu dini kinachofanyika ni mtu anaelezwa ukweli dini inasema hivi na yeye akikubaliana na maelezo anabadili basi.Waislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.
Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.
Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?
By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.