Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Waislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.

Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.

Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?

By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.
Wakristo wananishangaza Sana wanatumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kuaminisha watu kwamba waislamu ni magaidi....

Uku nyuma ya pazia wana mikakati yao kama...papa kuhararisha ushoga,kuunda makundi ya kiharifu,kupora mafuta Kwenye nchi za watu,kuuwa binadamu bila hatia n.k

By the way,sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea.
 
Ugaidi na uislamu ni mate na ulimi kwa sababu matendo ya kigaidi yameandikwa kwenye Quran na ni sunah kwa muumini wa kiislamu kutekeleza hayo matendo.

Mfano kuua watu wote wasiokubaliana na mungu wao allah asie na akili.

Huwezi kutenganisha uislamu na ugaidi.
 
Waislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.

Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.

Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?

By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.
Napinga hoja yako kwa 100% hakuna muislam anaewalazimisha wasanii kubadili dini kama una ushahidi tuwekee hapa mkuu. Watu wanabadili kwa mapenzi yao hata ambao si wasanii wapo wanabadili na kufuata uislam.
 
Ushahidi uko wazi. Mtu akisilimu tu kua muislamu utaona matangazo yake, nina ushahidi wengine hua wanaahidiwa hela na kuahidiwa mikataba na taasisi za kiislamu kwa wanaemlenga.
 
Uzushi na uongo mtupu hakuna kitu kama halafu mimi sioni tatizo mtu kubadili dini hata angetaka kuwa rasta au hindu yupo huru kwanini ionekane kuingia uislam ni kosa? Nadhani mnachuki tu iliyojificha dhidi ya waislam.
 
Uzushi na uongo mtupu.hakuna kitu kama halafu mimi sioni tatizo mtu kubadili dini hata angetaka kuwa rasta au hindu yupo huru kwanini ionekane kuingia uislam ni kosa? Nadhani mnachuki tu iliyojificha dhidi ya waislam.
Kuingia uislamu sio kosa, kosa na ushamba ni matangazo mnayowapa wanaokua waislamu, kwani sisi tuna haja gani kujua kama kawa muislamu, lakini waislamu hua mnawatumia watu kama hao kutafta au kuhalalisha dini yenu ionekane ni ya maana kisa flani kasilimu. Kwamba msipotangaza haitaonekana kama ni dini ya maana?

Huwezi kutofautisha uislamu na bidhaa kama condom ama maziwa ya Tanga fresh.
 
Waislamu hua wananiacha hoi, yaani dini yao ni kama bidhaa, kutumia watu maarufu na wasanii kuitangaza.

Waislamu hutumia nguvu kubwa sana na pesa nyingi kumshawishi mtu maarufu asilimu ili iwape mileage ya kidini, utafikiri wanatangaza bidhaa.

Hua najiuliza kwani kwenye dini yao moyo wa msanii una thamani kubwa sana kwa allah wao kuliko mtu asie maarufu ama msanii, mbona wanatumia nguvu nyingi sana kushawishi watu maarufu kuslimu?

By the way Mungu au kitu kinaitwa Mungu hakipo.
Labda nikuulize swali habari ya BEN PAUL kusilimu umekutaaa kwenye vyanzo vingapi vya habari vya KIISLAMU? Na subiriii jibu ili niendelee
 
Back
Top Bottom