Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

DINI ZOTE UTOPOLO TU
MLIPIGWA BAO NA WAJANJA LONG TIME
LAKINI THE ALMIGHTY YUPO
KAMA NI MBUYU , NI FUVU, NI PANGO,
ALL IN ALL THE VAST UNIVERSE DID NOT JUST BOLLOCK UP OUT OF ATHEIST ASS
 
Ndio mungu ana hasira na mkali wa kuadhibu.ila pia ni mpole na msamehevu kwa waja wake.zote hizo NI sifa zake.
Ila hyo ya kuuliwa msalabani SIO SIFA YAKE..
ila anaweza kukasirika kwa kukasirishwa na biumbe vyake!!!!
 
Ndio mungu ana hasira na mkali wa kuadhibu.ila pia ni mpole na msamehevu kwa waja wake.zote hizo NI sifa zake.
Ila hyo ya kuuliwa msalabani SIO SIFA YAKE..

mkuu tusiwape airtime watu kama kiranga kwa kureason kitoto toto namna hii.

Mungu hawezi kutundikwa msalabani na viumbe wake,maana ni udhaifu.
ila anaweza kukasirishwa na viumbe wake sababu ni sifa kukasirika!!!!kumbuka Mungu ni roho isiyo na sifa za kibinaadam.
 
Hawa wanaobadili dini huwa wepesi sana kudanganywa ili kujitoa mhanga. Afadhali hata wale waislam og. Huyu serikali imuangalie kwa karibu asije akajilipua au kujiunga na alishaaba kama yule dogo wa ngorika
Ndio kishabadili dini yatawatoka sana, ati serikali imuangalia [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Ndio kishabadili dini yatawatoka sana, ati serikali imuangalia [emoji849][emoji849][emoji849]
Ilikuwa kiki hajabadili din ishu imegundulika ingia insta tafuta ukurasa huu michambo na udaku wambea wameeleza na data wametoa
 
Kitu kama hukijui kitakusumbua sana tuachie sisi wakristo tunajua vizuri tunachofanya mbona yenu mengi hatuyajadili???
Na haya ndio ya kiumbe binadamu akiamua kutishughulisha ubongo wake kuchanganua haki na batili na kuuficha ujinga wake ni msiba mkubwa kwa kweli.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
kwanza ya michael jacksoni sijui yaliishiaga wapi na uislamu wake.
 
Back
Top Bottom