Mwanzo mwanzo wa hili beef la kiba niliona ndo nafasi ya mziki wetu kufika mbali coz ali kiba angemfanya diamond asibwete aumize kichwa zaidi ili atoe kitu kikali kabisa.at end of the day kiba badala ya kukaza ndo anafanya umavi mavi..KAFA.cOm kuna tatizo hapo. nowdays mziki ushindani upo kwenye good videos.
napenda kuona Kiba anafanya vizuri zaidi
unajua haya mambo yanazingua sometimes. natamani kumuona Alikiba katika level zile yaani.Mwanzo mwanzo wa hili beef la kiba niliona ndo nafasi ya mziki wetu kufika mbali coz ali kiba angemfanya diamond asibwete aumize kichwa zaidi ili atoe kitu kikali kabisa.at end of the day kiba badala ya kukaza ndo anafanya umavi mavi..
Mwanzo mwanzo wa hili beef la kiba niliona ndo nafasi ya mziki wetu kufika mbali coz ali kiba angemfanya diamond asibwete aumize kichwa zaidi ili atoe kitu kikali kabisa.at end of the day kiba badala ya kukaza ndo anafanya umavi mavi..
Me mpaka kuna wakati natamani kuingia kwenye kichwa cha kiba jamani, sijui anawazaga nini maskini, kiba ni kati ya wasanii ambao walipata golden chance ya kurudi kwenye game na kupokelewa na rundo la mashabiki, wanachofanya mashabiki zake me nakielewa saana, hata kwenye mpira tumekuwa tunaona, team iwapo uwanjani hata kama wanafungwa mashabiki huzidi kuwapigia kelele za kuwapa moyo, wakiamini kwa kufanya hivyo wachezaji wanapata motisha, naamini hata team kiba hilo ndilo lengo lao, sio kwamba hawajui kuwa kiba hafanyi vzr kwa sasa,tofauti na matarajio ya wengi na kwa ukubwa wa jina na kipaji chake, lakini kuendelea kumsifia hata asipostahili nikutaka kumpa nguvu ili afanye vzr zaidi, lakin cha kusikitisha kiba badala ya kujituma kwa dhati ili kuwafurahisha mashabiki na wale wasiokuwa mashabiki, anaonekana kuwadissapoint day after day, nachelea kusema nini kifanyike kuchange mind set ya kiba, but for sure something need to be done ASAP otherwise, hili game linaweza kuishia kumfrastrate akajikuta ana exit kwa stress, manake tukimuacha akatoa wimbo mwingine ukaishia kupata mapokeo madogo kama nagharamia.............????????
Mnh! Wallah Dar es salaam kuna vituko!!! Hivi mkoa chumba sebule (self) inaweza kufika shi'ng ngapi? Manake mji ushanishinda huu!!!
Kwahiyo ni kwamba huyu bibie ana-bid hii case, au?! Mbona anaharibikia ukubwani huyu?!
Huyo Ben mwenyewe ni jipu anatakiwa kutumbuliwa,
Kuna kipi kakifanya hv karibun na kimehit??
Mambo ya Ben na Kiba wengn wanamuingiza Diamond mara sijui mashabik mara cjui management,
Mbona hamuangalii tatizo husika??
Go #KingKiba4real#
We love u no matter what.
Sasa hivi naanza kupata picha kumbe huyu Mpwilo ndio Joketi Kijoti
Huyo Ben mwenyewe ni jipu anatakiwa kutumbuliwa,
Kuna kipi kakifanya hv karibun na kimehit??
Mambo ya Ben na Kiba wengn wanamuingiza Diamond mara sijui mashabik mara cjui management,
Mbona hamuangalii tatizo husika??
Go #KingKiba4real#
We love u no matter what.
Ben pol mtumbua majipu.
Hapo kwenye mashabiki ndiko kuliko nifanya kuamini njia aliyotumia sio sahihi... maana nimeona mashabiki wa kiba wamevamia ukurasa wa Ben na kumtukana sana...
Ha ha ha ha ha haaaaa.. JiPUUHH... KWA SAUTI YA PRESIDAA.
Uzi huu unanipa raha sana. Kwahiyo Kiba ni Jipu..!!
Mnh! Wallah Dar es salaam kuna vituko!!! Hivi mkoa chumba sebule (self) inaweza kufika shi'ng ngapi? Manake mji ushanishinda huu!!!
Kwahiyo ni kwamba huyu bibie ana-bid hii case, au?! Mbona anaharibikia ukubwani huyu?!
Mmmmmh inamaaana sophia haikuhit