Ben Pol amshukia Ali Kiba

Ben Pol amshukia Ali Kiba

KAFA.cOm kuna tatizo hapo. nowdays mziki ushindani upo kwenye good videos.

napenda kuona Kiba anafanya vizuri zaidi
Mwanzo mwanzo wa hili beef la kiba niliona ndo nafasi ya mziki wetu kufika mbali coz ali kiba angemfanya diamond asibwete aumize kichwa zaidi ili atoe kitu kikali kabisa.at end of the day kiba badala ya kukaza ndo anafanya umavi mavi..
 
Last edited by a moderator:
Huyo Ben mwenyewe ni jipu anatakiwa kutumbuliwa,
Kuna kipi kakifanya hv karibun na kimehit??

Mambo ya Ben na Kiba wengn wanamuingiza Diamond mara sijui mashabik mara cjui management,
Mbona hamuangalii tatizo husika??

Go #KingKiba4real#
We love u no matter what.
 
Mwanzo mwanzo wa hili beef la kiba niliona ndo nafasi ya mziki wetu kufika mbali coz ali kiba angemfanya diamond asibwete aumize kichwa zaidi ili atoe kitu kikali kabisa.at end of the day kiba badala ya kukaza ndo anafanya umavi mavi..
unajua haya mambo yanazingua sometimes. natamani kumuona Alikiba katika level zile yaani.
 
Mwanzo mwanzo wa hili beef la kiba niliona ndo nafasi ya mziki wetu kufika mbali coz ali kiba angemfanya diamond asibwete aumize kichwa zaidi ili atoe kitu kikali kabisa.at end of the day kiba badala ya kukaza ndo anafanya umavi mavi..

Me mpaka kuna wakati natamani kuingia kwenye kichwa cha kiba jamani, sijui anawazaga nini maskini, kiba ni kati ya wasanii ambao walipata golden chance ya kurudi kwenye game na kupokelewa na rundo la mashabiki, wanachofanya mashabiki zake me nakielewa saana, hata kwenye mpira tumekuwa tunaona, team iwapo uwanjani hata kama wanafungwa mashabiki huzidi kuwapigia kelele za kuwapa moyo, wakiamini kwa kufanya hivyo wachezaji wanapata motisha, naamini hata team kiba hilo ndilo lengo lao, sio kwamba hawajui kuwa kiba hafanyi vzr kwa sasa,tofauti na matarajio ya wengi na kwa ukubwa wa jina na kipaji chake, lakini kuendelea kumsifia hata asipostahili nikutaka kumpa nguvu ili afanye vzr zaidi, lakin cha kusikitisha kiba badala ya kujituma kwa dhati ili kuwafurahisha mashabiki na wale wasiokuwa mashabiki, anaonekana kuwadissapoint day after day, nachelea kusema nini kifanyike kuchange mind set ya kiba, but for sure something need to be done ASAP otherwise, hili game linaweza kuishia kumfrastrate akajikuta ana exit kwa stress, manake tukimuacha akatoa wimbo mwingine ukaishia kupata mapokeo madogo kama nagharamia.............????????
 
5fc55679376789a033394dafd8cbcf2b.jpg
mkuu kupata nafasi aliyoipata kiba ni bahati sana.ona kina mb dog wamerudi kwa game ila wamekosa support,kina q chilla pia but jamaa haoni kabisa.na mashabiki wa kiba wana mbwembwe kipindi cha MAMA award walikuwa wanamwombea nomination kupitia page za MAMA AWARD kwenye social network[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mnh! Wallah Dar es salaam kuna vituko!!! Hivi mkoa chumba sebule (self) inaweza kufika shi'ng ngapi? Manake mji ushanishinda huu!!!

Kwahiyo ni kwamba huyu bibie ana-bid hii case, au?! Mbona anaharibikia ukubwani huyu?!

Huyo mama kazaliwa huko Oysterbay kimakosa tu maana ana vijitabia vya kwetu uswahilini Manzese, Mbagala kwa mfuga mbwa. Anaona noma tu kuvamia vigodoro lakini kukweli akivisikia tu anaanza kuwashwa washwa.
 
Huyo Ben mwenyewe ni jipu anatakiwa kutumbuliwa,
Kuna kipi kakifanya hv karibun na kimehit??

Mambo ya Ben na Kiba wengn wanamuingiza Diamond mara sijui mashabik mara cjui management,
Mbona hamuangalii tatizo husika??

Go #KingKiba4real#
We love u no matter what.

Teh teh....
 
Ben pol amesema raia hawakumuelewa na wamemchukulia tofauti,eti anaswitch kwanza ili akaribie mtazamo wa mashabiki..!
 
Hili mbona liko wazi...misifa tele hamna kitu!!kiba akabali tu mtu anayetaka kujishindanisha nae sio size yake hata kidogo..atamfanya afe kwa stress bure!!
 
Huyo Ben mwenyewe ni jipu anatakiwa kutumbuliwa,
Kuna kipi kakifanya hv karibun na kimehit??

Mambo ya Ben na Kiba wengn wanamuingiza Diamond mara sijui mashabik mara cjui management,
Mbona hamuangalii tatizo husika??

Go #KingKiba4real#
We love u no matter what.

Mmmmmh inamaaana sophia haikuhit
 
Yani ni shida...hawakubali kitu.. Ila ujumbe umefika panapo.
Hapo kwenye mashabiki ndiko kuliko nifanya kuamini njia aliyotumia sio sahihi... maana nimeona mashabiki wa kiba wamevamia ukurasa wa Ben na kumtukana sana...
 
Ha ha ha ha ha haaaaa.. JiPUUHH... KWA SAUTI YA PRESIDAA.

Uzi huu unanipa raha sana. Kwahiyo Kiba ni Jipu..!!

Lilikuwa jipu, Diamond alitumbua sahv kovu tu kawaachia wakina Ben pol
 
Mkuu mwanamke anapokua ktk middle thrties na bado ananunua vijana ni hatari. Huyu anachanganyikiwa c mda.. Ni wa kusamehe tu.
Mnh! Wallah Dar es salaam kuna vituko!!! Hivi mkoa chumba sebule (self) inaweza kufika shi'ng ngapi? Manake mji ushanishinda huu!!!

Kwahiyo ni kwamba huyu bibie ana-bid hii case, au?! Mbona anaharibikia ukubwani huyu?!
 
Mmmmmh inamaaana sophia haikuhit

So unaangalia Sophia,
Tukianza hapa kuziorodhesha za Kiba zilizohit si tutajaza uzi???

Ben Paul ni wivu unamsumbua hakuna kingine,
Na nyie team domo acheni ushabiki maandazi.
 
Back
Top Bottom