Me mpaka kuna wakati natamani kuingia kwenye kichwa cha kiba jamani, sijui anawazaga nini maskini, kiba ni kati ya wasanii ambao walipata golden chance ya kurudi kwenye game na kupokelewa na rundo la mashabiki, wanachofanya mashabiki zake me nakielewa saana, hata kwenye mpira tumekuwa tunaona, team iwapo uwanjani hata kama wanafungwa mashabiki huzidi kuwapigia kelele za kuwapa moyo, wakiamini kwa kufanya hivyo wachezaji wanapata motisha, naamini hata team kiba hilo ndilo lengo lao, sio kwamba hawajui kuwa kiba hafanyi vzr kwa sasa,tofauti na matarajio ya wengi na kwa ukubwa wa jina na kipaji chake, lakini kuendelea kumsifia hata asipostahili nikutaka kumpa nguvu ili afanye vzr zaidi, lakin cha kusikitisha kiba badala ya kujituma kwa dhati ili kuwafurahisha mashabiki na wale wasiokuwa mashabiki, anaonekana kuwadissapoint day after day, nachelea kusema nini kifanyike kuchange mind set ya kiba, but for sure something need to be done ASAP otherwise, hili game linaweza kuishia kumfrastrate akajikuta ana exit kwa stress, manake tukimuacha akatoa wimbo mwingine ukaishia kupata mapokeo madogo kama nagharamia.............????????