Ben Pol amshukia Ali Kiba

Ben Pol amshukia Ali Kiba

sasa sumbai mtuache na overrated wetu.

najua nitakupata wapi

Nmewaacha mkuu, ila nafuatilia hii kauli ya ben kwa jicho la tatu, nashindwa kuamini kama ni ben huyu? Au mwengine...ben lini kaanza kutumbua jipu?
 
Last edited by a moderator:
Ben pol alimwambia mwana fa ile nyimbo angeshirikishwa yeye kiba kamuharabia sana au unaona kauli nzuri hiyo halafu unasema overrated ni sawa kwa ben pol kutumia

Kwa vyovyote vile leo ben pol ameongea ukweli mchungu..!! Ni ngumu sana kuupokea ila ndio ilivyo.. #UTANIPENDA
 
Nmewaacha mkuu, ila nafuatilia hii kauli ya ben kwa jicho la tatu, nashindwa kuamini kama ni ben huyu? Au mwengine...ben lini kaanza kutumbua jipu?

Ben amekuwa MKAKSI hatariiii UKWELI MCHUNGU
 
Nmewaacha mkuu, ila nafuatilia hii kauli ya ben kwa jicho la tatu, nashindwa kuamini kama ni ben huyu? Au mwengine...ben lini kaanza kutumbua jipu?
ndo nashangaa hata mimi. ngoja tuone mwisho wake utakuaje.
 
Yani sitaki kujua kauli hii inaukweli au la una uhalisia au la but daah naangalia kauli hii itamnufaisha vip ben yeye kama yeye?
labda huwezi jua. labda anatafuta njia nyingine ya kutokea. wanasema sio mara ya kwanza kupost kuhusu kiba
 
Maoni yangu binafsi Kiba hatua ya kwanza kabisa ukitaka usonge mbele achana na 7 anakupoteza ukiweza kutoka hapo kila kitu kitakwenda sawa. Hapo ndio tatizo linaanzia.
Hili suala la Seven hata mimi nishawahi kulizungumzia lakini tusisahau kwamba 7 sio mtu binafsi kama ilivyo kwa Talle, Fella au Sallam bali yeye ni mwakilishi tu wa kampuni kwahiyo Kiba hawezi kum-drop tu kirahisi namna hiyo!!

Ile kampuni ni kubwa sana lakini inaonekana imeweka watendaji wasioifahamu vyema tasnia ya muziki... ukishachukua mtu mwenye MBA ukamweka pale halafu akaweka codes of conducts na kuwataka wanamuziki wa-behave kama wafanyakazi wa benki au makarani wa mahakama; trust me, hawafiki popote!!! Tusisahau; hii management ya sasa ya Ali Kiba ndiyo ile ile ilimsanisha Rose Mhando! Sijui nyie wenzangu lakini binafsi nina miaka takribani 3 sasa sijamsikia Rose Mhando!!

Lakini kwa upande mwingine, kwa wanamuziki wa kariba ya Kiba ambae tayari alishakuwa na mashabiki kibao (including wale waliopo kwa Diamond kama mimi) wanatakiwa kuachana na muziki wa mashindano na badala yake kujikita kwenye inspirational songs, social conscious songs, emotional songs... vinginevyo utabaki kusema Inshallah Inshallah hivyo hivyo wakati kwenye muziki hakuna mambo ya Inshallah!
 
Naungana na Ben Po. Kiba is overrated! Inamcost
 
Ni makosa kujudge kuwa Ben pol ni shujaa kwa alichopost,maana hadi sasa tuna mitazamo tofauti kuna wanaosema chanzo ni ile pcha kitu ambacho hata mm siamini kwani wengi walipost ile pictuer why ben?,kuna wengine ameongea kisa diamond katoa wimbo wakati kiba hajatoa kideo cha ngoma zake mmmh mbona kuna wasanii wengi tu na wenye majna hawakutoa nymbo pia yy Ben mbona katoa nymbo na zmebuma,ko hii sio ishu
Nachokiona hapa issue ni marsh-up za coke studio coz Ben alishawah kusema Ali anabebwa na kimani sasa baada ya kukosa kuingza hata nymbo moja kwa album dg amepanick
 
N nn maana ya iyo number 7
Seven ni jina la mtu... dada flani hivi outgoing sasa cjui na yeye hivi sasa keshaanza kuzeeka au vp manake yupo kwenye tasnia ya burudani kitambo!!! Hata hivyo, 7 kwa Kiba hafanyi kazi kama 7... yeye ni mwakilishi tu wa kampuni inayomsimamia Kiba!
 
Yani huu mchanganyiko unaacha vichekesho. Kiba hajui kujituma 'mwinyi' na mapozi kibao. Seven mamaa wa nyodo na she doesn't care yeye ata page yake ya twitter sijui kama uwa ana update hana time na mtu kuwa karibu na watu ni uswahili kwake yeye ni mzungu . Alafu awa watu unategemea watoboe vipi. Yani Kiba angeenda ata kwa Mubenga atamsaidia sana japo hana pesa ila anajua kazi angemsaidia kumshape. Bila hivyo Kiba afanye tu mziki wa kutafuta pesa za kula na kina zubeda kina abdu.
 
Wenzako wanaamini alivyoenda marekani kafanya collable na Chris Brown hahahahahaha yani maji ya kuwaamsha hawa watu inatakiwa yawe mabarafu yaliyoganda hahahaha
 
Mkuu usimaind sana ndio utamu wa game yani game isipokuwa na story inakufa au inapoa so hivi vitu usivichukulie negative kihiivo. Enzi hizo bhana haya mambo utapenda huku unamsikia nature na inspecta, huku unasikia sister p na zay, huku kikosi wameshateka mtu, mara maunyamwezi ya tid etc hizi vitu muhimu tunataka tusikie na mabato ya marapa tumeyamiss game imelala sana tuone mtu chee na bob micharazo wakichanana tuone tamaduni na Weusi wanabato ndio tunapata burudani muziki wenyewe tu hautoshi na hakuna muziki mpya.
 
Wenzako wanaamini alivyoenda marekani kafanya collable na Chris Brown hahahahahaha yani maji ya kuwaamsha hawa watu inatakiwa yawe mabarafu yaliyoganda hahahaha

Hahaha labda Chris Brown wa Kariakoo. Nashangaa mtu hajawai kutengeneza ata trend atapataje collabo na Bliz wanajidanganya sana.
 
Yani huu mchanganyiko unaacha vichekesho. Kiba hajui kujituma 'mwinyi' na mapozi kibao. Seven mamaa wa nyodo na she doesn't care yeye ata page yake ya twitter sijui kama uwa ana update hana time na mtu kuwa karibu na watu ni uswahili kwake yeye ni mzungu . Alafu awa watu unategemea watoboe vipi. Yani Kiba angeenda ata kwa Mubenga atamsaidia sana japo hana pesa ila anajua kazi angemsaidia kumshape. Bila hivyo Kiba afanye tu mziki wa kutafuta pesa za kula na kina zubeda kina abdu.
Tena hilo la uzungu uzungu wa 7 nalo ni bonge la tatizo! 7 anatakiwa ku-manage watu wanaofanya muziki wa mahotelini na sio muziki wa mtaa!!
 
Seven ni jina la mtu... dada flani hivi outgoing sasa cjui na yeye hivi sasa keshaanza kuzeeka au vp manake yupo kwenye tasnia ya burudani kitambo!!! Hata hivyo, 7 kwa Kiba hafanyi kazi kama 7... yeye ni mwakilishi tu wa kampuni inayomsimamia Kiba!

huyu wa mtz from tz
 
Kwa vyovyote vile leo ben pol ameongea ukweli mchungu..!! Ni ngumu sana kuupokea ila ndio ilivyo.. #UTANIPENDA
Sasa kaongea ukweli gani huyo Ben pol Kidingi yule ni dogo tu kwa kiba anajiita king na yeye wa rnb wakati belle9 na jux ni balaa sasa anatafuta kiki kama yule bosi wake domo alitaka kutoa nyimbo yake
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa essay kashaharibu hii thread yani kitu kidogo maelezo mengi hio ni ishara ya mtu kilaza hii thread itakimbizwa balaa
 
Back
Top Bottom