Ben Pol aomba Talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa

Ben nilidhani ni mtu makini sana,lakini mwaka juzi ndo niligundua kumbe jamaa ni kilaza wa hali ya juu..
 
Huyu jamaa si alisilimu na kuwa ustaadh?au zilikuwa kiki tu.
 
Mgogo hajawahi kuwa na akili hata kidogo.
 
Ah siwezi kukubishia ila jamaa alikuwa amepata chombo jamani...tako na hela juu yaani yee alikuwa na kazi moja tuu ya kumpelekeea moto
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bahati mbaya Ndoa kudumu haiangalii vitu hivyo mkuu
Inategemea nini tena wakati sababu kuu ya kuoana ni kugegedana?
Kama hela ipo sasa shoda iko wapi maana visababishi viwili vikuu vya ndoa kuvunjika ni ukosefu wa hivyo vitu
 
Kama Ni ishu ya kunipeleka leba hata miaka 16 anaweza kunipeleka, nimeuliza hivyo sababu unaona pesa tena za mwanamke na tako ndo vigezo vya ndoa kudumu
Tako na pesa ndio vya msingi...sasa ben pol sii nae hela anayo ata kama sio kama ya demu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…