Ben Pol aomba Talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa

Msela kakimbilia mahakamani, kuna jambo
 
LlllllPole sana.
[/QUOTE]


Yaani siku hizi wananitafuta kwenye mitandao. Nimeshawapiga bao. Nilikuwa napiga ngondi kutoka kwa Aziz Ali nakatisha mitaa ya Keko Magurumbasi kuja kutafuta pesa ya kununulia wali maharage huku Posta mpya. Sasa hivi huwezi kuamini kwamba mimi ni customer wa kudumu wa KLM. Watu wakikudharau ujue wewe ni blessed sana. Wapumbavu ndio wanaodharau wenzao. Lakini maisha haya ukikomaa, lazima utoboe, I'm telling you
 
Muda mwingine ndoa za wasanii huwa ni maigizo ya kimaisha katika maisha halisi.
 
Kama Ben kaandikiwa urithi ana nafuu...lakini kumbuka yule binti zile mali sio zake ni za familia yake
Kitu Ben asichojuwa ni kuwa sheria imebadilika na uwenda asiambulie ata chupi ya mkewe... End
 
Kwani kati ya benpol na anerlisa nani kamuoa mwenzie?!..na nani mwenye mamlaka kisheria ya kutoa talaka kati ya mwanamke na mwanamne?!
 
Kwani kati ya benpol na anerlisa nani kamuoa mwenzie?!..na nani mwenye mamlaka kisheria ya kutoa talaka kati ya mwanamke na mwanamne?!
Kwa sheria za bongo, mke au mume anaweza kudai talaka kama ana sababu zinazo kubalika kwa mujibu wa sheria
 
Kwahiyo ile kubadili dini ilikuwa ni gia ya kutoka kwenye ndoa? Kwenye ukatoliki ndoa ni ya maisha. At any rate hawezi kutoka kapa kama aatadai mgawano wa mali hata kama ni ni doa ya miezi 11 tu.
 
Na una bahati ingekua imetokea kipindi cha ukubwani na amekupotezea muda wako mrefu ingekua shida sana, ila kujifunza kwa kuumia ni vizuri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…