MAPENZI HAYANA FORMULA.View attachment 1747380View attachment 1747381
Mtoto ana tako , mtoto ana hela , Ben Pol unakwama wapi ?? Acha ujinga wewe hebu endelea kusukuma figo ya huyo mtoto ....wengine tukipata hyo chance tunatulia kabisa ....
Demu anaonekana ana kiu ya kuwekwa ndani ila kimuonekano wake Ni km chini hana maajabu, wanawake wenye pesa wengi wana bahati mbaya na mapenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda alibadili dini baada ya kuoa...
Bibie akawa anampakulia kitimoto kwa siri mpaka aliposhtuka kuona pua ya kitimoto kwenye mchuzi...
Kuna Uzi humu niliuona mwaka Jana ulijadiliwa sn kuhusu Ben PolMkuu hawa wasanii ukianza fuatilia ishu zao unaweza dhani ni aliens walioshushwa toka sayari za mbali...
Jamaa alifunga ndoa kanisani, fews months later akatosana na mkewe, then akabadili dini na jina, then akapatana na mkewe na sasa mambo ya talaka...Haya yote yametokea maybe in a year or less
Sasa mkuu huyu wa kanisani ni yupi na yule wa msikitini ni yupi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora Ben angalau
Mimi nilisilimu ili niwe mwislamu kama mwaija wangu ,cha ajabu eti nikapokonywa na salumu mokoroboi..!
Wajuvi watufungue kati ya Ben pol na huyu mkenya ni nani atapoteza zaidi baada ya mgawanyo wa mali ?
anakufaa wa miaka mingapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee kiboko, eti hata was 16 yrs.
Mwanamke hanaga dini ndug.....!! Wewe kama binti umemuelewa Ila anakwambia mpak ubadili dini uwe mwislamu , chap Tu we badili alaf badae ukiwa kwenye ndoa unapiga u- turn moja matata Sana , na hapo awe ameshatotoa mbna anaanza kuitunza sabato bila was was huku anakulilia kifuani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu Kwa nn inakuwa rahisi sn Kwa mkristo kusilimu Kwa sababu ya kipochi manyoya kuliko mwanaume wa kiislamu kufanya hivyo dhidi ya binti wa kikristo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Yeyote yule anayeweza kufanikisha hilo.anakufaa wa miaka mingapi
pacha ulijiweka karantini nn..ulipoteaYeyote yule anayeweza kufanikisha hilo.
Beni analeta utani, ngoja aje kuchezea mbinyo wa viatu vya manyoyaView attachment 1747380View attachment 1747381
Mtoto ana tako , mtoto ana hela , Ben Pol unakwama wapi ?? Acha ujinga wewe hebu endelea kusukuma figo ya huyo mtoto ....wengine tukipata hyo chance tunatulia kabisa ....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanamke hanaga dini ndug.....!! Wewe kama binti umemuelewa Ila anakwambia mpak ubadili dini uwe mwislamu , chap Tu we badili alaf badae ukiwa kwenye ndoa unapiga u- turn moja matata Sana , na hapo awe ameshatotoa mbna anaanza kuitunza sabato bila was was huku anakulilia kifuani
Twin miss u a lot, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]pacha ulijiweka karantini nn..ulipotea
Unajua huyo boya mi nakwambia kadanganywa na mawakili...hapati hata senti[emoji848]Mali si zile wamepata wakiwa pamoja Witty?
Maana huyo Dada ile Executive still water ni Mali ya familia. Ben ameikuta..
mkuu waswalisuna wana msimamo mkali sana hawachelewi kupiga takbir[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu Kwa nn inakuwa rahisi sn Kwa mkristo kusilimu Kwa sababu ya kipochi manyoya kuliko mwanaume wa kiislamu kufanya hivyo dhidi ya binti wa kikristo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
I missed you too mara mia kenda tisini na kenda kwa tashwishwi zote kabisa 'in kabudi voice'Twin miss u a lot, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Majukumu yalinibana, but now nipo kwa sana tyuuh.
au bidada kachoka kusagwa maana jamaa si ana kale kakashfaUnaweza kukuta bi dada ni shemale dume jike kijana wetu ben yamemshinda[emoji16]