brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Wewe kweli chengaTatizo unakurupuka unaongea vitu kishabiki kinazi yani.
nimeeleza utajiri wa anerlisa si wake ni wafamilia yao uwe unasoma unaelewa.
hana uwezo wa kumkodi harmonize awe anamwimbia wiki nzima narudia HANA we unarahisisha mambo sana.
harmonize ni Youngest rich kid in E.A kwa sasa kwa taarifa yako, kama wewe ni mfanayakazi wa serikali Trust me mpaka utakufa pesa anazomiliki mpaka leo hii saa 13:10 hutaweza kuzifikia hata kwa ndumba
wenzako tunajiongeza.
Anerlisa anamiliki kiwanda Cha maji hakuna mkono wa wazazi wake.
Narudia Tena huyu Dada anauwezo wa kumkodi Harmonize wiki nzima akawa anawambia hause girl zake tu ndani na akamlipa pesa nzuri
Yaani analinganisha binti alieingia miongoni wa mabinti matajiri Africa na Harmonize anaishi kwa Sarah?
Mtu akaajiri mamia ya wakenya unalinganisha na mtu aliajiri madance na mabodigani?
Fanya research yako vizuri