Punguza munkari, kisha fanya tafakari...wakielewana kama dalili zinavyojionesha?....kura ya maoni ikiangukia upande wa yale ambayo Morocco inayang'ang'ania?
....kuwa mhalisia kivitendo, leo hii unaisaidiaje Polisario, ktk harakati zake kivitendo, ktk mazingira ambayo harakati za kijeshi zimesimama, na wanazungumza?
....kisha siasa za Zanzibar, na Burundi, ulizoziingiza hapa, zinashabihiana kivipi?
...kwa wafuasi wa siasa koko za kukinzana ktk nchi yetu, inaelekea kuna upande unataka tumia suala la ziara ya mfalme wa Morocco, na mahusiano yanayoimarishwa kama bakora dhidi ya wapinzani wao...lkn bahati mbaya ktk hili hii bakora ni dhaifu kwenye mambo yao sawia na kutumia ubua mkavu wa mtama ulioliwa na mchwa, kumpigia mtu mzima...utaishia mtia vumbi na ubua kuvunjika..."hii ( ya Mgogoro wa Sahara magharibi) si silaha inayofaa ktk kukabiliana kwenye siasa zenu koko na za kujishusha" buddy!