Return2roots
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 874
- 438
Mambo ya Zanzibar si kwa sasa wanaachiwa wazanzibar wenyewe?Tuangalie pia Tanganyika na Zanzibar malalamiko tupu. pia mfn mzuri uchaguzi mkuu mwaka jana. .... Safari ni ndefu sana ya watu kuacha hili jitu linaitwa UNAFIKI.
Mkuu inawezekana una hoja nzuri tu na pengine ungeweza kuzisaidia hata mamlaka za uchunguzi kumchunguza na kumchukulia hatua stahiki. Labda km hukumuelewa,amesema tuhuma km hizo hawezi kuzijibu kwa sababu ametoa ruhusa kwa waliomtuhumu wamshitaki..! Kosa km hilo ulilotaja ni kosa kubwa,hebu peleka hoja yako takukuru au police ili hatua zichukuliwe!!Aliingiziwa fedha zaidi ya Shilingi milioni 12 zilizoingizwa kwenye akaunti yake CRDB akaunti namba 01J1093293000 na ofisa wa ubalozi wa Algeria .Aache kupindisha tuhuma na kuimeza kiaina.Hajajibu tuhuma bado.
Ubalozi wa Canada na india anafanya nao kazi na taasisi mbili za kimarekani na Uingereza.
Sasa ben alivyo mnafiki atafanya consultation gani? Labda balozi za nyumba kumi.
Kamanda sheria kandamizi unayosema ni ipi? ?Unaweza kufafanua nasi tuelewe
Kamanda sheria kandamizi unayosema ni ipi? ?Unaweza kufafanua nasi tuelewe
Ameshindwa kujibu, ameingia mitini.hao ndio wale wamaomezeshwa nao wanameza bila kujua pumba au ni mcheleakikujibu ni pm tatizo letu tumeruhusu wanasiasa kufikiria kwa niaba yetu na kukaririshwa , tuu
Mjinga ni wewe ulierukwa na akili baada ya kupigwa rungu la kichwa na vibaka,jipendekeze lumumba utaweza kupelekwa mirembe kwa gharama za chama,popoma weweMpuuzi huyu
Baada ya lema
Ni hili lijinga
Huyo Saanane mambo ya Chadema tu yamemshinda sembuse mambo mengine ya juko nje. Kama ni mchambuaji mzuri aanzie na chadema kwanza. Kwa sababu huwezi.ukakimbilia kujenga masuala ya utaifa kwanza wakati masuala ya ndani tu yanatushinda
Nina mkataba wa kufanya Consultancy na Balozi mbili za kigeni nchini na Taasisi nyingine mbili za kimataifa tangu mwezi uliopita kuhusiana na masuala ya kisiasa,kijamii,na Kiuchumi nchini sambamba na tathmini ya mwenendo wa haki za binadamu.
Maadili ya kazi yangu na hata Mkataba husika hauniruhusu kuzitaja balozi hizo .Ni suala la professionalism na uadilifu tu.
Hivi wewe jamaa hueleweki unachopigania , jambo moja kubwa ninalokuona ukilifanya kwa ufanisi ni kupiga kiwi viatu vya Dr Dau , ni hivi , huu uzi hauhusu lolote kuhusu Daraja la kigamboni wala ubalozi wa Dr Dau .Ben saa nane na mwenzake yericko ni matapeleli wenye maisha magumu sana hapa town
Saa nane umeshindwa kupata kazi ya kufanya consultancy Ufipa sembuse balozi za kimataifa?
Una nin njaa kali wewe.
Nadhani sasa umeona tofauti ya vijana wa chadema na wachumia tumbo wa ccm , wakati nyinyi mkisubiri Sendeka asonge ugali mle , vijana wa chadema wanafanya kazi za kimataifa .Hapa ndipo mtu unajua akina Ben SAANANE na CHADEMA na hao watu wenu balozi za nchi za nje mlivyo wanafiki.Huwa mnabwata kila siku kuwa serikali iweke Mikataba yote wazi iliyoingia nyie ya kwenu mliyoingia mnaficha!!!! Wanafiki wakubwa nyie
Huyu hana cha ziada zaidi ya ufuasi wa kidini.Hivi wewe jamaa hueleweki unachopigania , jambo moja kubwa ninalokuona ukilifanya kwa ufanisi ni kupiga kiwi viatu vya Dr Dau , ni hivi , huu uzi hauhusu lolote kuhusu Daraja la kigamboni wala ubalozi wa Dr Dau .
Mjinga ni wewe ulierukwa na akili baada ya kupigwa rungu la kichwa na vibaka,jipendekeze lumumba utaweza kupelekwa mirembe kwa gharama za chama,popoma wewe
Mjinga ni wewe ulierukwa na akili baada ya kupigwa rungu la kichwa na vibaka,jipendekeze lumumba utaweza kupelekwa mirembe kwa gharama za chama,popoma wewe
Punguza munkari, kisha fanya tafakari...wakielewana kama dalili zinavyojionesha?....kura ya maoni ikiangukia upande wa yale ambayo Morocco inayang'ang'ania?
....kuwa mhalisia kivitendo, leo hii unaisaidiaje Polisario, ktk harakati zake kivitendo, ktk mazingira ambayo harakati za kijeshi zimesimama, na wanazungumza?
....kisha siasa za Zanzibar, na Burundi, ulizoziingiza hapa, zinashabihiana kivipi?
...kwa wafuasi wa siasa koko za kukinzana ktk nchi yetu, inaelekea kuna upande unataka tumia suala la ziara ya mfalme wa Morocco, na mahusiano yanayoimarishwa kama bakora dhidi ya wapinzani wao...lkn bahati mbaya ktk hili hii bakora ni dhaifu kwenye mambo yao sawia na kutumia ubua mkavu wa mtama ulioliwa na mchwa, kumpigia mtu mzima...utaishia mtia vumbi na ubua kuvunjika..."hii ( ya Mgogoro wa Sahara magharibi) si silaha inayofaa ktk kukabiliana kwenye siasa zenu koko na za kujishusha" buddy!
Sisi wananchi unatuhusu nini mkataba wa kazi/biashara baina ya Ben na wateja wake? Wananchi tunataka mikataba ya serikali iwe wazi kwa kuwa sisi wananchi ndio tunaolipa hizo fedha!Hapa ndipo mtu unajua akina Ben SAANANE na CHADEMA na hao watu wenu balozi za nchi za nje mlivyo wanafiki.Huwa mnabwata kila siku kuwa serikali iweke Mikataba yote wazi iliyoingia nyie ya kwenu mliyoingia mnaficha!!!! Wanafiki wakubwa nyie
Balozi ni nchi INA maana kama Ben saanane ana mkataba na ubalozi INA maana ana mkataba na nchi husika kwani ubalozi ni wawakilishi wa nchi nchini mwetu.Swala ni je balozi za nje zinaruhusiwa kuingia mikataba na watu binafsi ya consultancy bila wizara ya ya mambo ya nje na inayohusiana na ajira kuhusishwa? Je taifa LA nje lina haki kisheria kuingia mkataba na MTU binafsi anayeitwa Ben saanane bila mwenyeji kujua huo mkataba una nini?Mahiga na waziri anayehusika na ajira afuatilie hiliSisi wananchi unatuhusu nini mkataba wa kazi/biashara baina ya Ben na wateja wake? Wananchi tunataka mikataba ya serikali iwe wazi kwa kuwa sisi wananchi ndio tunaolipa hizo fedha!
Utakuwa hujui haya mambo yanavyokuwa!Balozi ni nchi INA maana kama Ben saanane ana mkataba na ubalozi INA maana ana mkataba na nchi husika kwani ubalozi ni wawakilishi wa nchi nchini mwetu.Swala ni je balozi za nje zinaruhusiwa kuingia mikataba na watu binafsi ya consultancy bila wizara ya ya mambo ya nje na inayohusiana na ajira kuhusishwa? Je taifa LA nje lina haki kisheria kuingia mkataba na MTU binafsi anayeitwa Ben saanane bila mwenyeji kujua huo mkataba una nini?Mahiga na waziri anayehusika na ajira afuatilie hili
Tulia wasemaji wa mambo ya nje waje watoe jibu kama nchi yaweza ingia mkataba wa consultancy na RAIA binafsi bila wizara ya mambo ya nje na ajira kuhusishwa au kupewa nakala ya mkatabaUtakuwa hujui haya mambo yanavyokuwa!