Tetesi: Ben Saanane kuna biashara gani unafanya na ubalozi wa Sahara Magharibi na Kundi la TASSC?

Wewe unashangaa 12million za Ben Saanane lakini 10million za kila mbunge wa CCM huzishangai na unaona tutaendelea kwa wao kuhongwa fedha zote hizo!
Kweli watz ni bingwa wa namba lkn hesabu [HASHTAG]#ZEY[/HASHTAG]!
 
Tulia wasemaji wa mambo ya nje waje watoe jibu kama nchi yaweza ingia mkataba consultancy na RAIA binafsi bila wizara ya mambo ya nje na ajira kuhusishwa au kupewa nakala ya mkataba
Kwani Ben amekwambia ameajiriwa na hizo balozi? Unaposema raia binafsi unamaanisha nini? Au katika fikra zako unadhani kuwa na consultancy firm ni big deal? Unataka kutuambia kwa mfano ubalozi ukitaka fundi umeme akarekebishe hitilafu ya umeme kwenye ofisi zao zinapaswa zikaombe ruhusa kwa Mahiga? Kwanini mnataka kuigeuza hii nchi kuwa kikatuni?
 
Tulia tupate majibu toka wizara husika kuhusiana na huu mkataba wa consultancy wa Ben saanane
 
Wewe unashangaa 12million za Ben Saanane lakini 10million za kila mbunge wa CCM huzishangai na unaona tutaendelea kwa wao kuhongwa fedha zote hizo!
Kweli watz ni bingwa wa namba lkn hesabu [HASHTAG]#ZEY[/HASHTAG]!
Kweli wacha waendelee tu kuchukua hizo 10 ndiyo maana KUB hakutoa ule ushahidi.

Hakuna lawama wacha liende tu.
 
Ni Afrika pekee ambapo nchi moja inaitawala nchi nyingine ya kiafrika na mkoloni jeuri kutetewa na wapuuzi kama huyu mtoa post
 
Jamaa na wenzake lukuki wa ukawa ni ma Sleeper agents
 
jamaa kajificha na ID mpya duu kazi kweli kweli, kama bongo movie tuu hakuna cha maana kama unajiamini kwa nini ujipe code hizo wakati wewe ni yule yule..
 
Mpaka aibu yaani MTU anakubali kua consultant wa balozi nyingine kwa mambo yanayohusu taifa lake?? Tunajuaje kua uhusiano huo haujavuka mipaka na kua shushushu wa nchi iliyokuajiri ama kutumika kuvuruga nchi yetu kwa maslahi ya wanaokulipa! Huo ni uhaini wa namna yake! Vyombo vya dola vimfuatilie kwa ukaribu na umakini zaidi! Hili sio jambo jepesi!
 
Kushupaa kote huko 12m tu, kweli akina mayalla wako wengi nchi hii.
 
Wewe umewahi kuikosoa ccm? Kama hata la juzi la million 10 limekushinda hata kulaani na kumwambia mwenyekiti wenu alishughulikie. Beni atawapasua kichwa mpaka mtaomba muda wa kuwa shift lumumba upungue
 
Kama Ben wa Saanane anatumika ili kuisaidia Sahara kuondokana na Mkoloni Mwafrika Morocco basi Ben aseme hata mimi pia nitamchangia hela aendelee kutumika ili wapolisario wapate Uhuru wao. Hivi kweli hatuoni kabisa ukandamizaji unaofanywa na wa Morocco against Polisario?? Ina maana ni Algeria tu ndio wanapaswa kuwasaidia hawa Wasahara, wengine hatuoni uchungu.

Kwa kuguswa na swala hili la Wasahara, Algeria imetoa fertile Land kwa Wasahara kuishi hapo sababu tu Mfalme wa Morocco ametwaa sehemu ya Kaskazini yenye rutuba akawaachia kusini kwenye Jangwa hivyo walioko kusini wamekimbilia Algeria wanaishi hapo. AU kimya, EU Kimya, OAC kimya, nini tatizo??

Ben kama kweli unawasaidia Wapolisario, endelea na juhudi zako hizo, achana na mleta mada.
 
Huyu hana cha ziada zaidi ya ufuasi wa kidini.
Maadam hela za Mfalme zitajenga msikiti mkubwa basi yupo radhi kutembea uchi ilimradi awe upande wa muarabu mtoa hela.
Mkuu sio tu litembee uchi,hata mwarabu alitie madole litafurahia tu.
 
Kumbe vyombo vya dola mnajua vipo,bombadia mbili zipo,milioni kumi za kuhongana wabunge zipo,sijaribiwi yupo..mnalalamika nn hapa?
 
Kabla ya kuanzisha ID mpya wewe na akina Chahali mngejibu kwanza zile hoja za Ben Saanane
Amejijibu mwenyewe kwa kujiteka. Jeuri yote ile ya kumkebehi Rais, leo anatafutwa na wazazi wake? Yaani kama watoto wakienda kucheza, jioni wazazi wao wanawatafuta waende kuoga, kula na kulala. Tough online, childish at home[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…