Tetesi: Ben Saanane kuna biashara gani unafanya na ubalozi wa Sahara Magharibi na Kundi la TASSC?

Naanza kung'amua mkuu
 
hahahaaaa.........mfalme wa selfie,

hamna lolote,hata kuran alizoleta zimeleta utata misikitini,zina maneno ambayo waislam wanasema hawayatambui,wanahisi kuna uchakachuaji
Kama vitabu havieleweki vipelekwe katika chuo kikuu cha wailamu morogoro na ikidhibitika ni kweli wavikusanye na kuvirudisha katika ubalozi ili kuondoa watu kuchanganyikiwa na mafundisho na kuleta vurugu
 
Huyo ben hana lolote anachoweza ni kuua kwa sumu tu.
Ila naamini atashughulikiea sisi huwa hatuomgei braza.Action talks
Sawa kabisa, tcra watafanya kazi yao
asa si waanze na nyinyi ? Maana ben saa8 kapotea hivi hivi
 
MMh!!! GOD FORBID . This issue awakens me. Something is wrong at one end or another. I do not know which one is wrong.
 
mtoa post nimekuona mwehu ingawa mm sipend kuingza siasa na masuala nyeti ya maisha ya m2,unaposema eti serikal imewasomesha vjana haf tena wanaisema vbaya hv kwel mstar huo pnd unaandisha ulijiuliza mara mbil juu serikal kuwasomesha watu wake? kwan wanaosomeshwa bure au wanakopeshwa? vjana weng wa miaka ya kuanzia 2000 hawasomeshwi bure bal wanakopeshwa ndio maana saiz serikal imeamua hata kuwapandishia makapo toka 8% mpaka 15% hafu we2 kisa 2 unajifunza siasa unakuja na uharo kama huu,hata kama wangesomeshwa bure ukifanya vbaya ukiwa kama mzaz usiambiwe kuwe unavyoenda sio sawa na c utu na uungwana. vjana wa kitanzania 2ache mihemko ya kisiasa na kuacha maslah mapana kwa mustakabal wa nch na watu wake,co kwasababu unamaslah binafsi basi utete kila jambo hata kama n ovu! kwan nn wasiwadai pesa walizo someshwa akina lipumba,lowasa,jk,jpm n.k ambao hao ndio waliosoma bure? huo mstari wa serikali imewasomesha bure vijana kwa kwel mtoa post kama n kijana bas ume2kosea sana vjana 2naokatwa makato makubwa ktk rizk
 
Mmemshindwa Ben kwa hoja sasa mmegeukia viroja.

Niliwaambia UVCCM all inclusive, kwenu Ben, Malisa na Yericko ni level nyingine hamuwawezi.
hawana hoja bali niwaropokaji wazuri sana ' silence is the answer to the fool'' wengine wakasema "Never argue with a fool"
 
Alie Andika Hii thread anaweza juwa Ben alipo
 
TCRA na POLISI hapa ndio pakuanzia...Evarist Chahali pia anaweza kuwasaidia kujua ben alipo.
 
hapa kuna uhusiano na kutoweka kwake mungu wape ujasiri ahli zake
 
Jamani hivi huyu jamaa ameshindwa kupatikana kweli pamoja na kuwepo vyombo vyote vya ulinzi nchini. Mtu kama huyu kupotea na asijulikane alipo ni doa katika kizazi hiki na kijacho maana kama karne hii mtu anapotea na hajulikani alipo, karne ambayo osama alijificha akakamatika. Hii ni hatari sana.
 
Ndipo aliko huko anapigana vita ya jangwani dhidi ya morocco
 
Mkuu hebu fungua hii code kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…