Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ukisikiliza clip ya Zitto amezungumzia nani waliompoteza Ben Saanane...."Ukifatilia polisi wanasema sisi tumefikia mwisho lakini uelekeo unaonyesha amechukuliwa na usalama wa taifa,Mh mwenyekiti kwa mujibu wa sheria usalama wa taifa hawatakiwi kumkamata mtu"--Mh Zitto
 
Maumivu manyanyaso chuki vipigo udhalilishaji vifo . vyote Mungu atavijibu juu yenu muipiganiayo haki na kuishia kupata dhahma.
 
Mtu akinionyesha waliomteka na mimi nitawatafuta. Lakini nahisi kuna siku watalipa tu. Uzuri wa JF maanidshi haya hayafutiki, kuna mtu atakuja kuni quote hapa kuwa "ulisema"
 
Hv chadema walishndwa kufuatilia hyo namba mpaka wakagundua japo kitu au intelejisia ya chadema imeondoka na dr slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…