It really pain a lotUmeongea jambo la maana sana. Ni vizuri tukaanza kufikiria malipo kwa hawa watu.
Huu uzi unaumiza sana, huyu Ben ana wazazi na ndugu zake wengine sijui wanajisikiaje huko waliko. Binadamu tunakosa utu namna hii, hivi unawezaje kula,kulala na kucheka huku ukijua mikono yako inatiririka damu za wasio na hatia. utaishi milele?
Nathubutu kusema nyie ndio mnaopenda dhulma ienee katika ardhi ila juwa hujui mwisho wako upojeNinachowapendeaga hawa jamaa, ni kama waganga wa kienyeji wabobexi, hawakuonei, wanakuonya, tena si mara moja, ukichagua likes na followers, unajikuta siku moja upo kwenye mdomo wa chatu man alone! RIP Ben
walimwambia "atajikuta mwenyewe na chatu"Uliota kifo chako Jiwe kamalizia na yule DAB
Swissme
walimwambia "atajikuta mwenyewe na chatu"
Na sisi tunataka kumwambia kuwa hakuwa mwenyewe kwenye mapambano dhidi ya udhalimu! Kama damu yake imemwagika, "it will not be in vain".Na kamwe hatutamsahau Ben!
Yatakuja kufunuliwa siku moja LAZIMA mkuu. Ninaamini kabisa kuwa shida ni ushamba. Hiyo ni namna nzuri ya kumelezea huyo mtu na utawala wake bila lugha kali zaidi!Kichaa jiwe anauwa sana watanzania
Swissme
Yuko active kivipi mkuu? Uko fine kwenye matumizi ya mtandao?Jamani, mbona huyu Ben saa8 anaonekana yuko active saivi?
Wamo humu, kuna huyu jamaa anajiita TumainiEl , huyu lazima anafahamu everything. Fuatilia badiko lake akimjibu Ben.Waliomfanyia wako humu poa tu kichaa
Swissme
Yes mkuu tena wengi tu.Wamo
Swissme
Dot ya kijani kwenye profile pic, inamaanisha nini?Yuko active kivipi mkuu? Uko fine kwenye matumizi ya mtandao?
Good question mkuu. Lakini nadhani hiyo kwa wengine inaonekana kama "a check mark" ama alama ya tiki ya kijani, ambayo mara nyingi huwa ina indicate kuwa huyu ni "a verified member"Dot ya kijani kwenye profile pic, inamaanisha nini?View attachment 915503
Taarifa za huyu jamaa TumainiEl ndizo zilitakiwa kufanyiwa uchunguzi mkuuHalafu Polisi wanamuweka ndani Max Melo kwa kutaa kutoa details za mtu ambaye alikuwa yupo kimaslahi ya nchi, lakini wauwaji kama huyu Polisi haina habari nao wala haiwahitaji.
Republic of Gangstars.
inonesha status kama hivyo. Hiyo ni kwa upande wa ppGood question mkuu. Lakini nadhani hiyo kwa wengine inaonekana kama "a check mark" ama alama ya tiki ya kijani, ambayo mara nyingi huwa ina indicate kuwa huyu ni "a verified member"
I stand to be corrected coz sijawahi kuona hiyo alama mimi binafsi. Na hiyo ya doti kama unavyosema, inamaanisha kuwa yuko online.
Good observations.
Hili ni mojawapo ya bandiko alilokuwa akimjibu Ben...mkuu hebu weka screenshot. Pole ben kama bado upo hai. siamini kuwa hawa dhalimu waliondoa uhai wako.
TumainiEl said:Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali