It really pain a lotUmeongea jambo la maana sana. Ni vizuri tukaanza kufikiria malipo kwa hawa watu.
Huu uzi unaumiza sana, huyu Ben ana wazazi na ndugu zake wengine sijui wanajisikiaje huko waliko. Binadamu tunakosa utu namna hii, hivi unawezaje kula,kulala na kucheka huku ukijua mikono yako inatiririka damu za wasio na hatia. utaishi milele?